Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

pengine muasisi wake alimaanisha Push Gang akimaanisha kusukuma mbele magufulication/magufulism
 
Umeoza kichwani kama unaweza kusema mbele za watu kuwa ni story za kutunga na utekaji inaonyesha dhahiri wewe ndio mmoja wa sukumagang! Kwa nini upotoshe kweli baada ya kuisema na tuitubie ili kuponya mioyo? Roma hakutwa? Mo? Mdude Chagali? Kipanya just to name a few.
Habari za bedroom unazileta barazani wapi na nani na lini kiongozi yupi aliyewaita wazee wa kabila lake kwa dhamira ya kisiasa. Nyie ndio mnaokuza dhana za kibaguzi kwa maana waathirika wa mauaji na utekaji watafurahishwa na unafiki wenu? Mnaprove kuwa mpo sukumagang
 
Endelea na wewe kusubiria meli airport.
 
Uko sahihi mkuu hii ni agenda ya watu wa mikoa ya pwani ndani ya ccm, ikiongozwa na wanamtandao uchwara kifikra na kimantiki. pia Kuna vimelea hivyo kwa wachaga piq
Watu wa pwani akina nani? Yaani mnakemea ubaguzi halafu unaletaubaguzi, mimi mnyamwezi lakini nawachukia sukumagang kwa maana ya wanufaika wa itikadi na matendo ya Magufuli
 
Alinifanya niuze vitu vya ndani nikakimbilia AFRIKA KUSINI, Yule Shetani nina AMINI kabisa atakuwa KUNI ZA MOTONI hiyo siku ya KIYAMA.
Wewe ndio unaamini kuna moto. Au niseme umekubaliana na brainwashing kwamba kuna moto au maisha baada ya kufa. JPM amemaliza kazi yake. Ametufanyia mengi kama nchi. Amefariki. Hakuna kikingine tena.
Tunataka kuona kazi za walio hai.
 
Well said
 
Na kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa ndani ya CHADEMA ni wanapewa wamama wa Kichagga tu kwa kuwa 'wamesoma' sana na hao wamama wengine wanaokipigania chama wao waendelee kuimba Peoples Power tu [emoji848]
Assumption za kijuha, waliokipigania wakaachwa ni kina nani?
 
Hebu tutofautishie kati ya mabeberu na washirika wa maendeleo?
Wacha upumbavu wewe! Washirika wa maendeleo ndio nini? Unawezaje kutofautisha Mabeberu na hao unaowaita washirika wa Maendeleo?
Hao washirika wako wamevuruga kila nchi waliopata kwenda kuchagiza 'Maendeleo' kwa itikadi mbofu kabisa.
Hizi political rhetorics zinaakisi uovu wa akili za kushikiwa, nilikaririshwa nilipokuwa shule 70s kiasi nikamuona shujaa mkubwa kibanga kumpiga mkoloni.

Na hao wazungu bado wanashikilia doctrines hizo hizo toka 'White Fathers' 'Society for the Propagation of the Gospel' SPG Which became "Church missionary Society" CMS na makundi mengine yaliyotokana na hayo. Unagusia ya 1970! unasahau ya kuanzia mwanzo wa karne ya 18 mpaka leo hii mpuuzi wee na ukemewe popote kule. Haramia we
Sukumagang ni kundi wanufaika wa itikadi na matendo na itikadi za Magufuli, simple!
Tofauti na unavyotaka Dunia iamini Matendo ya magufuli ya Kuziba mirija ya ukoloni mamboleo ni maovu, the opposite is the truth, he was of a noble tribe and was a magnanimous man.... Alikuwa ni mwema na mkweli. Na wanufaika wake ni Waafrika na watu wote wanao kandamizwa[wanyonge]

Isitoshe, washirika wa maendeleo nao ni wanufaika wa itikadi zilizo asisiwa Exeter Hall England, itikadi za Udhalimu, Uuaji, Ubakaji, na Uangamizaji wa Jamii, Utekaji wa Rasilimali na hata kudumaza maendeleo. Ni wezi ni majambazi. Ni Itikadi zilizopewa Baraka na Mkuu wa Kanisa ambaye Ndie Mfalme wa Uingereza..... Matendo na Udhalimu waluiofanya mababa zako hautasamehewa mpaka mtubu laana zenu, muombe msamaha.
Mtuache tufanye yetu.

Hakuna itikadi kama Sukuma gang hiyo....ni utopian.
Ila Itikadi za SPG, CMS, LMS, "White Fathers" zipo zimetengenezwa na mababu zako haramia we
usitudanganye....na sidanganyiki na maelezo yako.

Kutaka Wananchi na Nchi kuwa huru kutoka katika makucha ya Mabeberu mnaojiita 'washirika wa Maendeleo' ni uovo?

Wazungu ni wezi, ni majambazi na ni makatili ambayo hata Muumba aliona hayo....no questioned ! Pandora papers nazo zinadai hivyo. Historia inadai hivyo!
Hizo zingine ni hasira za kumkosa godfather has nothing to do with wasukuma,
Hayo ni yenu. Nyie washenzi ndio mmeng'ang'ania kitu ambacho does not exist anywhere in Tanzania. Wenye hasira ni nyie mnaoamka kila siku kutukana kaburi. Kweli inakuingia akilini kuwa watu wana hasira kwa sababu mzungu alifinywa mirija? Msitake kuanza kubadilisha gia angani kwani mmeshindwa kutetea maana halisi ya Lugha na msamiati wenu wa Ukimbari. It is Racist and should not be used by any Media let alone Tanzanian or rather African.

Sabaya ni msukuma? Acheni hizo kubalini na reality, mbaguzi kaenda zake
Hata mpindishe vipi, Watanzania wanajua ukweli. Wapi nimemtaja Sabaya? Kufanya huo mlinganisho? wapi? tafuta post zangu zote, punguwani we
Wacheni ugaidi wenu

Nyie ndie mmekuja na hilo Sukuma kwa sababu Hayati alikuwa msukuma, no doubt! mmetunga hayo kuja kuwatukana Jamii nzima ya Wasukuma, Watanzania...mnakurupushwa mnataka kubadilisha maaana.
Wewe ni Gaidi tu.

Mkemewe popote pale duniani.

Number12:1
 
Kuitwa Sukuma gang siku hizi haishtui, tutaunga mkono mambo mema ya JPM hata kama mtatupa jina jipya baya zaidi.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mkuu lazima ushtuke, bila hivyo ni kuwaachia hawa mamluki humu kuendeleza misamiati hasi kwa Jamii. Wakemee kwa nguvu zote.

Hakika, tuendelee kuunga mkono yale yote mema aliyoyafanya. Umenena.
 
Wasukuma ni washamba, iwe wamesoma au wasiosoma. Ukiwa MSUKUMA unakuwa CERTIFIED MSHAMBA mpaka KIFO chako.
SoulLess
Hayo Unayodai wewe ni Uwongo mkubwa.
Hayati hakujaza Wasukuma. Wasukuma kama kabila/jamii kubwa Tanzania wapo kila sehemu, na wamekuwepo karibia katika kila Awamu za serikali Tanzania. Ukisema walijitokeza na kuwa more proud baada ya Mkuu wa Nchi kuwa ni miongoni mwao...ningeafiki na maoni yako, otherwise, maoni yako yamejaa ulimbari, chuki, kejeli kwa jamii ya wasukuma.

Angalia Vyama vyote vya Siasa nani waanzilishi?
Wasukuma,Wachaga,Wanyakusya na Wahaya
kwanini ni hivyo?

Mkuu economatrician utanisamehe kwa kutumia mfano wako. Sikutuhumu
 
CERTIFIED FOOLS.... Wasukuma wamepigwa chapa ya MOTO YA UPUMBAVU AKILINI MWAO.
 
..Uchaguzi mkuu wa 2015 ulitawaliwa na kampeni mbaya sana za ukabila dhidi ya watu wa kanda ya kaskazini.

..Magufuli baada ya kushinda alipaswa kuliunganisha taifa na kuondoa dhana zozote za ubaguzi ktk serikali yake na ktk jamii.

..Pamoja na kutofanya jitihada zozote kupiga vita chuki na kashfa za kikabila, Magufuli alikuja na utaratibu mgeni wa kiongozi wa nchi kutukuza kabila lake.

..Mfano halisi ni utaratibu wa Raisi Magufuli kuhutubia KILUGHA ktk ziara za kiserikali.

..Ukiacha hotuba zake za kilugha pia ziara za Raisi Magufuli kutembelea kanda alikotokea zilikuwa nyingi ukilinganisha na ziara ktk maeneo mengine ya nchi.

..Hali hiyo ilisababisha baadhi ya wananchi kuamini kwamba Magufuli anawajali zaidi watu wa kabila lake kuliko wananchi wa maeneo mengine ya Tanzania.

..Kwa mfano, kuna siku Raisi Magufuli alikuwa ktk ziara na akasimama kusikiliza matatizo ya wananchi. Yuko mama mmoja badala ya kuwasilisha shida zake kwa Kiswahili, alizungumza na Raisi kwa lugha ya kabila lao.

..Je, mwananchi huyo alikuwa hajui Kiswahili? Au mwananchi huyo aliamini kuwa Raisi Magufuli anaingilika kwa " angle " ya ukabila? Kwanini?


..Ukiacha ziara lukuki za kiserikali kanda ya ziwa Magufuli alikuwa na tabia ya kuzungumzia makabila ya wasaidizi wake ktk hotuba zake mbalimbali.

..Wakati mwingine alifanya kwa utani, lakini hali hiyo ilileta ukakasi na kumuonyesha Raisi Magufuli kama kiongozi anayefuatilia makabila ya watu, au mwenye chembechembe za ukabila.

..Matendo na mwenendo wa Magufuli kama kiongozi wa nchi ndiyo yaliyopelekea kuzuka kwa jina " Sukuma Gang. "

..Ni sahihi kabisa kukemea matumizi ya jina hilo, lakini sio sahihi kujitoa fahamu kwamba chanzo cha jina hilo ni tabia na mwenendo mbaya wa Raisi Magufuli.

..Mwisho, siungi mkono ndugu zetu Wasukuma kudhalilishwa au kushutumiwa kutokana na tabia mbaya za Raisi Magufuli. Kuna Wasukuma wengi sana ambao hawakuwa ktk genge lililofaidika na uovu wa awamu ya 5.
 
Kwahiyo unakiri kuwa nyie wasukuma Ni washamba.
 
Mada inazungumzia Lugha na Viji-neno, maneno. Yenye ubaguzi lakini bado unakuta watu wanatetea Ukimbari... na ubaguzi unaotokana na neno Sukuma gang yaani lina Uhalali fulani.

C'mon.
 
sukuma gang ni neno la kibaguzi lisitumike kabisa kokokote sisi Sote ni ndugu Tanzania ni Taifa la kijamaa...lipigwe marafuku hilo neno..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…