Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Nashangaa sana Mchagga anapoongelea ubaguzi tena kwa kunyooshea vidole Makabila mengine.Nilidhani wao walipaswa kuwa na aibu katika hili la ubaguzi.
 
Criminals huwa wanapelekwa Mahakamani!! Wangapi wameshapelekwa huko ukimuondoa Sabaya pekee ??!! Maana wengine wote wapo hai except One person !!
 
Unasema mpwa na sio mwanae ...Kuna watu familia yake ipo bungeni.

Kuna watu ndugu zao wapo katika Taasisi yaani majina ya ukoo ynafanana.

Wengi vijana kama nyie hamjui bifu ilikuwepo Kati ya Magufuli na watu kaskazini ambayo ni itikadi zao ndo imeleta msukumo ila hata ukiambiwa ubaya wake hujui kwa kuthibitisha kabisa.

Wengi mmepandikizwa chuki moyoni hamna mjualo kaangalie kimei alifanya wafanyakazi 80% ndugu zake wa uchagani ...hulioni hilo angalia kule juu bashiru ni msukuma jamaa alikuwa anadiversify wakina kijazi ni wasukuma?

Hauna ushahidi hata nikupe mwaka ulete hauna ila unafuata kauli za watu.

Nakupa simple mfano kaangalie Uzi wa battle ya Mwanza na Arusha ndo utajua hizi jamiii mbili kanda ya ziwa na kaskazini Wana bifu za asili.

Jaribu kufanya utafiti mzuri then uje hapa kila kona katika siasa mtu anatafuta jinsi ya kumchafua mwenzio ili afike mbele kwa uchapakazi wa marehemu ni dhahiri hakuna njia wangempata zaidi ya kuja na hoja za ukabila na ukatili.
 
Siyo kweli, Mchengerwa, Mwana FA, Ulega walikuwepo? Tanga 5 na Pwani 4 na wakati Arusha, Dar , Manyara, Simiyu, Mbeya hakuna, inamaana kule hakuna watu?
Nchi hii ina MIKOA 30+ Wizara ziko chini ya 25, Afu tangu lini MWANA FA amekuwa WAZIRI?? Huyo ni NAIBU WAZIRI, afu kama ndio hivyo MOLLEL anatokea KATAVI?
 
Wachagga wameonewa na kunyanyaswa sana tangu kabla ya uhuru na ndio maana Mangi Marealle II alishaomba uhuru kwa ajili ya Chaggaland akapewa semi autonomy ila Nyerere alimfitini kwa Malkia Elizabeth II, mwaka 1958.
Nyerere alikuwa na wadhifa gani Tanganyika wakati huo
 
Samia amejitahidi kubalance, DINI, KANDA NA MAKABILA.
hao mawaziri wa kutoka Tanga wote walikuwepo enzi za Shetani.
Kwa nilivyo pitia maoni yote kwa hizi comment ase watu wenye ukabila hawafai kamwe kupewa nchi ukabila ni sawa na cancer italitafuna Taifa letu vibaya mmno Tuwaepuke kwa kila hali hawa watu hata kama wamesoma sana ukabila ni sumu.
 

Mkuu hebu rudia kwa sauti kubwa kabisa wakusikie
 
Huna akili, Mollel anatokea Siha Kilimanjaro, hao wengine? kwahiyo wazuri wapo Tanga, Zanzibar na Pwani pekee?
TANGA, MBEYA, KAGERA, KIGOMA, MTWARA, LINDI, PWANI, DODOMA, SINGIDA, ZANZIBAR, KATAVI, RUVUMA, GEITA, SHINYANGA,TABORA, MWANZA nk hiyo mikoa yote imetoa kama sio WAZIRI basi NAIBU WAZIRI.
 
Kumbuka yule mwanaharakati huru ambaye ni Sukuma Gang naye ni shoga na ndiyo kilichomfukuza jeshini.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…