Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Kwa dhana halisi ya ubaguzi wachaga ni nambari one hapa Tanzania na wasingedhibitiwa katika nafasi za kisiasa ungekuwa balaa nchi hii. Kinachofurahisha hivi sasa ni kuwa wameoa na kuolewa karibu na makabila yote hapa nchini hivyo kusawazisha kwa kiasi fulani ubaguzi wao.
Nashangaa sana Mchagga anapoongelea ubaguzi tena kwa kunyooshea vidole Makabila mengine.Nilidhani wao walipaswa kuwa na aibu katika hili la ubaguzi.
 
Kaka Paskali, Mimi naona sio ubaguzi wala ukabila kuwaita Sukuma Gang..

Kwanza Gang, ni neno la kumaanisha kundi la watu wahalifu, wahuni, wasio na ustaarab, wasio fuata taratibu, wauaji, wezi, majambazi.. yaani "organized group of criminals"

Sukuma Gang, maana yake ni group of Sukuma Criminals, killers, thieves, robbers, yaani watu wahalifu kabisa, kwa matukio yalikuwa awamu ya 5, hilo neno la Sukuma Gang ni sawa kabisa, tena tungeita Sukuma killers kabisa, wala hakuna ukabila wala ubaguzi, sababu matukio yalisababisha jina kutokea, ukiwa na matukio mabaya unataka tukuite Sukuma Saints kweli?

Hivyo, Sukuma Gang it was real, group of Criminals, killers, thieves, robbers na wote group lilikuwa na wasukuma tupu, so, that is a very correct name, to me, tungeita hata Sukuma Killers, iwe direct kabisa..

Kaka Paskali, watanzania waliumia sana na wengi kupoteza maisha, hadi leo watanzania wanalia sana, Mh. Rais Samia anawafuta machozi, anajaribu kufuta maumivu na mateso watu walipata kutokana na Sukuma Gang..!!

Hivyo, tuache hilo jina liendelee kabisa, watanzania hatukuwa na tamaduni za kuteswa, kuuliwa au kuny'ang'anywa mali na fedha halali za wafanya biashara watanzania wenzetu, watanzania kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kuuawa, viroba kibao vya watu ufukwe wa Dar, this was dictatorship kabisa..!!

Mama Samia, Rais wetu, mtanzania mwenzetu, mwenye utu na ubinadamu wa kitanzania anajitahidi sana kufuta machozi, machungu, maumivu, mateso na kuwapooza watanzania walioumia vibaya sbb ya Sukuma Gang..

Tanzania ilifikia pabaya, sisemi zaidi, ila Mungu ni Mungu Mkuu, awezaye yote na ndio mwenye maamuzi yote, Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Mama yetu, Samia Suluhu Hassan, huyu ni Mama na Rais, tunaanza Mama sbb Mama ndio kubwa sana, kuonyesha upendo wake kwa Watanzania, Mungu mlinde sana Mama huyu, Samia, Amen🙏🙏🙏
Criminals huwa wanapelekwa Mahakamani!! Wangapi wameshapelekwa huko ukimuondoa Sabaya pekee ??!! Maana wengine wote wapo hai except One person !!
 
Mosi Magufuli hakuwa msukuma alijibanza katika usukuma labda uniambie kama Burundi kuna wasukuma siku hizi.

Pili ,kuhusu ukanda ,ukabila ,undungu katika serikali yake ulishamiri mfano mdogo tu ni je mpwa wake alistahili kushika nafasi ile pale hazina na hakukuwepo na watu senior zaidi yake ?

Tatu je Magufuli alipokuwa anasema wakichagua watu wasio wa CCM hatoleta hata maji rejea walichoambiwa watu wa Tunduma .

Nne , je Magufuli alipokuwa akiita raia wa kigeni na waliokuwa wakipingana na mambo yake majina kama "mabeberu " na "vibaraka wa mabeberu" bila ushahidi usiotia shaka mbona hamkuonekana kuumizwa.?

Tano, Magufuli alisema wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana wanaonesha kuchoka wapigwe mateke na wafanyishwe kwa lazima je hii haiko kinyume na haki za binadamu na watu waliishia kupiga makofi ya pongezi .

Mkizungumza chuki na mgawanyiko mkubwa ulioletwa na awamu yake basi msisahau kufanya rejea ya matendo na kauli zake zilizoleta migawanyiko.
Unasema mpwa na sio mwanae ...Kuna watu familia yake ipo bungeni.

Kuna watu ndugu zao wapo katika Taasisi yaani majina ya ukoo ynafanana.

Wengi vijana kama nyie hamjui bifu ilikuwepo Kati ya Magufuli na watu kaskazini ambayo ni itikadi zao ndo imeleta msukumo ila hata ukiambiwa ubaya wake hujui kwa kuthibitisha kabisa.

Wengi mmepandikizwa chuki moyoni hamna mjualo kaangalie kimei alifanya wafanyakazi 80% ndugu zake wa uchagani ...hulioni hilo angalia kule juu bashiru ni msukuma jamaa alikuwa anadiversify wakina kijazi ni wasukuma?

Hauna ushahidi hata nikupe mwaka ulete hauna ila unafuata kauli za watu.

Nakupa simple mfano kaangalie Uzi wa battle ya Mwanza na Arusha ndo utajua hizi jamiii mbili kanda ya ziwa na kaskazini Wana bifu za asili.

Jaribu kufanya utafiti mzuri then uje hapa kila kona katika siasa mtu anatafuta jinsi ya kumchafua mwenzio ili afike mbele kwa uchapakazi wa marehemu ni dhahiri hakuna njia wangempata zaidi ya kuja na hoja za ukabila na ukatili.
 
Siyo kweli, Mchengerwa, Mwana FA, Ulega walikuwepo? Tanga 5 na Pwani 4 na wakati Arusha, Dar , Manyara, Simiyu, Mbeya hakuna, inamaana kule hakuna watu?
Nchi hii ina MIKOA 30+ Wizara ziko chini ya 25, Afu tangu lini MWANA FA amekuwa WAZIRI?? Huyo ni NAIBU WAZIRI, afu kama ndio hivyo MOLLEL anatokea KATAVI?
 
Wachagga wameonewa na kunyanyaswa sana tangu kabla ya uhuru na ndio maana Mangi Marealle II alishaomba uhuru kwa ajili ya Chaggaland akapewa semi autonomy ila Nyerere alimfitini kwa Malkia Elizabeth II, mwaka 1958.
Nyerere alikuwa na wadhifa gani Tanganyika wakati huo
 
Samia amejitahidi kubalance, DINI, KANDA NA MAKABILA.
hao mawaziri wa kutoka Tanga wote walikuwepo enzi za Shetani.
Kwa nilivyo pitia maoni yote kwa hizi comment ase watu wenye ukabila hawafai kamwe kupewa nchi ukabila ni sawa na cancer italitafuna Taifa letu vibaya mmno Tuwaepuke kwa kila hali hawa watu hata kama wamesoma sana ukabila ni sumu.
 
Sukuma gang na panya road ndiyo magenge ya kihalifu yakukemewa

Nadhani criminology and penology inataka jinai ikemewe na jamii ione hakuna manufaa kwa kuwa muhalifu au kushiriki uhalifu

Kuwa mualifu ni kufanya, kusaidia na kuchochea

Kushiriki nikuwa a part of transaction au ku-conspire

Now, Sukuma gang ni watu sadist, wanaopenda kuona wenzao wanaishi kama mashetani, kwa kutenda jinai, malicious prosecutions eventually kula hela za plea bargain.

Wamepoteza 1.5 Trillion, wamefanya upigaji kwenye manunuzi ya ndege na miradi mikubwa ya kipigaji

Hao ni watu hatari kuliko panya road, tuwakemee kwa nguvu zetu zote

Hakuna mtu mwenye matatizo na wasukuma, bali sukuma gang

Mkuu hebu rudia kwa sauti kubwa kabisa wakusikie
 
Huna akili, Mollel anatokea Siha Kilimanjaro, hao wengine? kwahiyo wazuri wapo Tanga, Zanzibar na Pwani pekee?
TANGA, MBEYA, KAGERA, KIGOMA, MTWARA, LINDI, PWANI, DODOMA, SINGIDA, ZANZIBAR, KATAVI, RUVUMA, GEITA, SHINYANGA,TABORA, MWANZA nk hiyo mikoa yote imetoa kama sio WAZIRI basi NAIBU WAZIRI.
 
Inaonyesha wewe nae ni mzanzibari ndio maana unatetea huo ushoga kwa kusema et una athari kwa wanaofanya tu, mnaanza kulawitiana tokea udogoni na hizo kesi mnazimaliza tu nyumbani kuficha aibu na matokeo yake ndio maana mnatengeneza jamii kubwa ya mashoga hadi jeshini msipoangaliwa mtatuletea Rais punga siku moja.
Kumbuka yule mwanaharakati huru ambaye ni Sukuma Gang naye ni shoga na ndiyo kilichomfukuza jeshini.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom