Kaka Paskali, Mimi naona sio ubaguzi wala ukabila kuwaita Sukuma Gang..
Kwanza Gang, ni neno la kumaanisha kundi la watu wahalifu, wahuni, wasio na ustaarab, wasio fuata taratibu, wauaji, wezi, majambazi.. yaani "organized group of criminals"
Sukuma Gang, maana yake ni group of Sukuma Criminals, killers, thieves, robbers, yaani watu wahalifu kabisa, kwa matukio yalikuwa awamu ya 5, hilo neno la Sukuma Gang ni sawa kabisa, tena tungeita Sukuma killers kabisa, wala hakuna ukabila wala ubaguzi, sababu matukio yalisababisha jina kutokea, ukiwa na matukio mabaya unataka tukuite Sukuma Saints kweli?
Hivyo, Sukuma Gang it was real, group of Criminals, killers, thieves, robbers na wote group lilikuwa na wasukuma tupu, so, that is a very correct name, to me, tungeita hata Sukuma Killers, iwe direct kabisa..
Kaka Paskali, watanzania waliumia sana na wengi kupoteza maisha, hadi leo watanzania wanalia sana, Mh. Rais Samia anawafuta machozi, anajaribu kufuta maumivu na mateso watu walipata kutokana na Sukuma Gang..!!
Hivyo, tuache hilo jina liendelee kabisa, watanzania hatukuwa na tamaduni za kuteswa, kuuliwa au kuny'ang'anywa mali na fedha halali za wafanya biashara watanzania wenzetu, watanzania kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kuuawa, viroba kibao vya watu ufukwe wa Dar, this was dictatorship kabisa..!!
Mama Samia, Rais wetu, mtanzania mwenzetu, mwenye utu na ubinadamu wa kitanzania anajitahidi sana kufuta machozi, machungu, maumivu, mateso na kuwapooza watanzania walioumia vibaya sbb ya Sukuma Gang..
Tanzania ilifikia pabaya, sisemi zaidi, ila Mungu ni Mungu Mkuu, awezaye yote na ndio mwenye maamuzi yote, Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Mama yetu, Samia Suluhu Hassan, huyu ni Mama na Rais, tunaanza Mama sbb Mama ndio kubwa sana, kuonyesha upendo wake kwa Watanzania, Mungu mlinde sana Mama huyu, Samia, Amen🙏🙏🙏