Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Washamba kivipi kwanza?
Kuna makabila mengi yaliyo na ushamba kuliko hata wa wasukuma.
Ebu imagine mtu unakula mbwa, panya funza wale wkubwa wanaopatikana kwenye magogo ya miti iliyooza,
Makabila yanayokula vitu hivi yapo mengi huko mikoa ya kati na kusini ya Tanzania ila sisi wasukuma hatulagi au huwa hatuli madudu yenu hayo.
Sasa mpaka hapo mshamba ni nani.
Mnaowashambulia wasukuma kwamba ni washamba ebu jitokezeni na nyinyi mjitaje makabila yenu tuwajue, la sivuo nyinyi ndo wala panya , mbwa , funza nk.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MPUMBAVU
 
Wasukuma wana UKABILA sana, hawafai kupewa nafasi yoyote ya Uongozi.

MKAPA amekuwa RAIS uliwahi kuona watu wa MTWARA wamejazana maofisini?

KIKWETE amekuwa RAIS lakini hukuona amejaza watu wa MKOA WA PWANI au wa KABILA LAKE.

KICHAA MAGUFULI, MIAKA 5 tu NCHI IMEGEUKA YA WASUKUMA, TISS alijaza WASUKUMA hadi anawaita IKULU na wanaongea KISUKUMA.
Tunayajua mengi sana ya Magufuli juu ya UKABILA wake.
Mungu atuepushe na UJINGA WA WASUKUMA KUPEWA HATA UKUU WA MIKOA. NI WAPUMBAVU NA WASHAMBA.
Wewe ndo mjinga na ni mpumbavu na kabila lako lote.Si umeamua kututukana?
 
'Macho ya Mbowe' umeyaongelea makusudi kama aina ya kejeli, brain game ulichofanya ni kujulisha/kukumbusha kwa makusudi yaani umetukana/umekashifu.
Wapo wengi humu humuita makengeza mara DJ hivyo kutokuwa Msukuma hakujawa kinga, wengine wanamuita Lissu kilema japo ulemavu umesababishwa na utawala wa awamu ya Magu.
Makabila yanayoongoza kupigwa vita/kushambuliwa kwa maneno ni Wachaga na Wahaya, hayo makabila wapambane sana kwani nchi nzima(Wasukuma included) wanayahofia yasishike nafasi za juu za uongozi.
Pamoja na arguments zangu mimi ni muumini wa freedom of speech, watu waseme chochote pasina kutukana, kushawishi jamii fulani ishambuliwe/ifanyiwe fujo yaani kusiwepo na uchochezi wa uvunjifu wa amani au uvunjivu wa sheria.
Wasukuma pamoja na wingi wao ushawishi wao ni mdogo ukiwalinganisha na Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa ambao kila nyanja wapo katika nafasi za juu mpaka wanapigiwa kelele.
Kwa hiyo kwa akili yako hao wahaya na wanyakyusa wanamfikia msukuma kwa lipi?
hapo ongelea wachaga! Hao wanyakyusa na wahaya tofauti na viajira mtaani ambavyo kwa sasa wanagawana na wasukuma lakini kwenye biashara na utafutaji hawamfati msukuma hata kidogo!
Tutajie sekta gani hapa nchini inayoongozwa na wanyakyusa au wahaya! Kama ilivyo madini,kilimo na ufugaji kwa wasukuma!
Wasukuma sio watu wa kelele hao wahaya na wanyakyusa wana mji wowote wa kibiashara wa maana wanakotokea kama Mwanza na Kahama?
 
Wasukuma wana UKABILA sana, hawafai kupewa nafasi yoyote ya Uongozi.

MKAPA amekuwa RAIS uliwahi kuona watu wa MTWARA wamejazana maofisini?

KIKWETE amekuwa RAIS lakini hukuona amejaza watu wa MKOA WA PWANI au wa KABILA LAKE.

KICHAA MAGUFULI, MIAKA 5 tu NCHI IMEGEUKA YA WASUKUMA, TISS alijaza WASUKUMA hadi anawaita IKULU na wanaongea KISUKUMA.
Tunayajua mengi sana ya Magufuli juu ya UKABILA wake.
Mungu atuepushe na UJINGA WA WASUKUMA KUPEWA HATA UKUU WA MIKOA. NI WAPUMBAVU NA WASHAMBA.
QMANYOKO ZAKO MPUMBAFU MAMA AKO NA BABA AKO
 
Huyo Cardess ni mpumbavu hamna haja ya kujibizana nae! Wewe ujue kabisa kuna watu walikuwa hawamoendi Magufuli kwa kuwa alikuwa Msukuma hawana sa babu!
Wengi wao ni Wachaga,wahaya na wanyakyusa hawa watu wanaukabila sana ila mda wao ulishaisha wakubali tu kuwa nchi hii sasa ni ya watu wote!
Wanakali kejeli, eti washamba ila utakuja kushangaa huyo Cardless hana maisha yeyote ya maana!
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe msomaji fursa ya kufikiri, kushauri na kutoa majibu unayoona yanafaa.

Swali la leo ni kuhusu kuibuka na kuchopuka kwa viji sentiments vya viashiria vya ubaguzi wa udini, ukanda na ukabila, sasa jee ni tuunganishe nguvu kukemea au roache tuu ukiisha ota na kukomaa ndipo tuukate?. Ubaguzi Ubaguzi huu wa kisasa unafanywa kwa viji neno neno vya kibaguzi, je neno Sukuma Gang, sio neno la kibaguzi?. ni neno tuu la kawaida tuliache au ni neno la kibaguzi linalostahili kukemewa?. Je mnaonaje kama Watanzania tukiungana kukemea vijineno neno vyenye viashiria vya Ubaguzi wa aina yowote kwa jina lolote?

Nimeileta hoja hii kufuatia as days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

The Mkuu Sexless , kwanza nikupongeze kuileta hoja hii, pili japo ni kweli neno Sukuma Gang ni itikadi tuu, lakini si kweli kuwa iliasisiwa na Magufuli!. Tumwacheni Magufuli apumzike kwa amani!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Neno Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!

Pia sii kweli! bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!

Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!

Hapa nakuunga mkono!

Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema! Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!

Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.

Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.

Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.

Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang! This is not fair at all! Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma! Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!

Paskali
Wasukuma wabaguzi sana, na bora tumewajua. Wachaga ndio kabila linabaguliwa sana bila sababu ya msingi. Wao ndio wanapaswa walalamike. Wasukuma tuliwaona jeuri yao maofisini na mitaani kipindi cha mwendazake.
 
Jiulize kwanza kwa nini ni sawa Mtu mweusi kumuita majina ya Kibaguzi Mzungu lkn Mzungu akifanya the same kwa mtu mweusi anaweza hata kufunguliwa mashitaka kwa Ubaguzi? Jibu ni power, mtu mweusi ni weak na Mzungu ni strong ndo maana pia inakubalika kuita Sukuma gang na kukejeli Sukuma jinsi utakavyo lkn Msukuma haruhusiwi kufanya the same kwa wengine bila ya consequences.

Hivyo kwangu Wasukuma ni powerful na wengine ni weak ndiyo maana weak wako sensitive.

Fikiria tu kwa mfano kilema cha macho alichoumbwa nacho Mbowe labda angeumbiwa nacho Magufuli hali ingekuwaje, unafikiri wangemsitiri kama Mbowe anavyositiriwa? Hata watu wanaomchukia Mbowe bado wanamsitiri sijawahi kusikia mtu akikejeli macho ya Mbowe lkn ule upande mwingine wasingejali hivyo ni swala kukosa power, maturity na pia lack of boundaries, Wasukuma wanajua wanajitambua na wanajua power yao na wanaowakejeli ni weak na cowards!
Ulichoandika hujakifanyia uchunguzi. Mbowe amekwishatukanwa Sana kwa maumbile yake. Labda wewe ni member mgeni.
Lakini suala la mtu kutukana si kwa sababu yuko upande fulani.
Ni tabia ya mtu na kwa wengi hasa wa Ccm ni mkakati wa kumfanya mtu ajione dhalili na kushindwa kutekeleza majukumu yake.
Katika hii hii mitandao ya kijamii, vijana wa ccm wanatukana wapinzani kuliko unavyofikiria.Jaribu tu kufikiria, mtu akikuita NYUMBU unajisikiaje. Ni jambo baya sana mtu kufananishwa na mnyama, tena ni kiongozi wa taasisi kama chama cha siasa.
Viongozi wa serikali na ccm wanalindwa na sheria za Tanzania.
Lakini wapinzani hawalindwi na Sheria za Tanzania. Ndiyo maana matusi wanayopewa hayachukuliwi uzito badala yake huonekana wanastahili kutukanwa.
 
Aisee kwa hapa nilipoku quote umenishangaza sana,hivi kwa akili yako unaamini kila mtu anafahamu kiswahili? Kuna ubaya gani kwa huyo Mama kuongea Kisukuma? Bibi na Babu yangu wote hawafahamu Kiswahili,ingetokea wamekutana na JPM na wanafahamu ni Msukuma wangeongea nae kwa lugha ipi? So unawahukumu Wasukuma kuwa ni watu wabaguzi kwakuwa tu yule Mama aliongea na Rais kwa kisukuma?

Kwamba matendo ya JPM ni pamoja na kuongea na yule Mama kwa kisukuma kwako wewe ilikukera sana? Mnajaribu kujificha kwa kuzunguka zunguka lakini deep down mna chuki na ubaguzi mkubwa na Wasukuma.
Nyie ni BANYAMULENGE.
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe msomaji fursa ya kufikiri, kushauri na kutoa majibu unayoona yanafaa.

Swali la leo ni kuhusu kuibuka na kuchopuka kwa viji sentiments vya viashiria vya ubaguzi wa udini, ukanda na ukabila, sasa jee ni tuunganishe nguvu kukemea au roache tuu ukiisha ota na kukomaa ndipo tuukate?. Ubaguzi Ubaguzi huu wa kisasa unafanywa kwa viji neno neno vya kibaguzi, je neno Sukuma Gang, sio neno la kibaguzi?. ni neno tuu la kawaida tuliache au ni neno la kibaguzi linalostahili kukemewa?. Je mnaonaje kama Watanzania tukiungana kukemea vijineno neno vyenye viashiria vya Ubaguzi wa aina yowote kwa jina lolote?

Nimeileta hoja hii kufuatia as days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

The Mkuu Sexless , kwanza nikupongeze kuileta hoja hii, pili japo ni kweli neno Sukuma Gang ni itikadi tuu, lakini si kweli kuwa iliasisiwa na Magufuli!. Tumwacheni Magufuli apumzike kwa amani!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Neno Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!

Pia sii kweli! bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!

Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!

Hapa nakuunga mkono!

Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema! Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!

Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.

Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.

Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.

Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang! This is not fair at all! Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma! Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!

Paskali
Alaaniwe yule aliyeanzisha huo upuuzi na wapuuzi wenzie wenye kuundeleza huo upuuzi hawafai misikitini wala makanisani!
 
Aliyeanzisha Sukuma Gang ndo alianzisha ubaguzi na ukabila na ilitakiwa ulione hili mapema na ukemee huu leo unaouita ubaguzi.Nikushauri vile ukemee ubaguzi wa hili kundi linaloitwa Samia Gang na Chawa wa Mama. Tena huyu ana makundi mawili ya kibaguzi,kemea mapema huu ubaguzi,usisubiri aondoke madarakani ndo uje na Malala zako ndefu unazozisingizia ni kwa maslahi mapana ya taifa!
 
Alaaniwe yule aliyeanzisha huo upuuzi na wapuuzi wenzie wenye kuundeleza huo upuuzi hawafai misikitini wala makanisani!
Sukuma Gang aka BANYAMULENGE nyie ni laana mumelaaniwa duniani na mbinguni, kila DRC leo hakukaliki sababu yenu nyie sasa mlitaka na hapa mlete ushenzi wenu Mungu akaingilia Kati, rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana wapuuzi wakubwa nyie.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom