Je, Tuliowapa dhamana ya kulinda maisha yetu wameyaweka rehani?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushia na Nircamf amabayo inawakereketa kohoni

Hii yote ni baada ya Maalim Seif (Rip) ambae anaweka hadharani kuwa anaumwa Covid 19.

Kwa kauli isiyo na kumug'unya maneno tunaambiwa kuwa watu wajifukize na kutumia Nirmcaf kama watakuwa na dalili za kuwa na matatizo ya kupumua.

Swali la msingi, je njia za kisayansi kupambana na hili tatizo ndio hazifai kabisa kupambana na hili tatizo?

Kwamba kutoa takwimu za wenye tatizo, kufuatilia muingiliano wa watu na kupima watu ili kujua ukubwa wa tatizo hakufai?

Huku uraiani malalamiko kila kukicha kuwa tatizo la watu kushindwa kupumua linaondo watu wa kila namna, raia wa kawaida mpaka wanasiasa nguli.

Watu wenye dhamana ya afya ya Watanzania wapo kimya. Hawajatuambia kwa kiwango gani Nirmcaf imethibitika kupambana na hili tatizo. Maana kama kujifukiza au kunywa tangawizi na malimau mseto pilipili ni hapa Bongo tu tunajua ufanisi wake?
 
Hakuna mtu uliempa dhamana ya kulinda maisha yako.Watu ambao wameingia madarakani kwa wizi wa kura ni watu ambao hawayahusu maisha yako.Ni watu ambao wamechukua madaraka wakiwa na nia zao nyingine.

Kwa kifupi ni kwamba Tanzania haijawahi kuchagua viongozi wa kuwaongoza.Viongozi waliopo ni vibaka walioingia madarakani kwa njia ya wizi wa kura kwa nia ya kupigania maslahi yao wanayoyajua wao kwa sababu hawakuwa chaguo la watanzania wala hawajawahi kuchaguliwa na Watanzania.Wewe unaweza kupigania maslahi ya watu ambao hawajakuchagua?!
 
Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushian Nircamf amabayo inawakereketa kohoni

Hii yote ni baada ya Maalim Seif (Rip) amabe anaweka hadharani kuwa anaumwa Covid 19.

Kwa kauli isiyo na kumug'unya maneno tunaambiwa kuwa watu wajifukize na kutumia Nirmcaf kama watakuwa na dalili za kuwa na matatizo ya kupumua.

Swali la msingi, je njia za kisayansi kupambana na hili tatizo ndio hazifai kabisa kupambana na hili tatizo?

Kwamba kutoa takwimu za wenye tatizo, kufuatilia muingiliano wa watu na kupima watu ili kujua ukubwa wa tatizo hakufai?

Huku uraiani malalamiko kila kukicha kuwa tatizo la watu kushindwa kupumua linaondo watu wa kila namna, raia wa kawaida mpaka wanasiasa nguli.

Watu wenye dhamana ya afya ya Watanzania wapo kimya. Hawajatuambia kwa kiwango gani Nirmcaf imethibitika kupambana na hili tatizo. Maana kama kujifukiza au kunywa tangawizi na malimau mseto pilipili ni hapa Bongo tu tunajua ufanisi wake?
Kwa kifupi serikali imeshindwa kupambana na covid19. Kila mtu na lwake.
 
Hilo ndilo jibu kwamba vyombo vya kuchuja viongozi wenu vimeharibika kupita kiasi. Yani kwa vetting ya enzi na mwalimu na Mwinyi mpaka mkapa unapataje matokeo ya vetting yanayomfanya mtu jiwe kuruhusiwa kugombea urais achilia mbali kuwa Raisi? Wanatufelisha Ni TISS
 
Kama dawa haipo serikali itafanyaje mzee
Tulishambiwa tunawe mikono,vaa barakoa,tuepuke misongamano isiyokuwa ya
Lazima

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ilipuuzia tangu awali. Hakuna upimaji na ikawaamanisha raia kipumbavu kuwa Tanzania haina corona. Mungu amesikiliza maombi. Upumbavu mtupu.
 
Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushian Nircamf amabayo inawakereketa kohoni

Hii yote ni baada ya Maalim Seif (Rip) amabe anaweka hadharani kuwa anaumwa Covid 19.

Kwa kauli isiyo na kumug'unya maneno tunaambiwa kuwa watu wajifukize na kutumia Nirmcaf kama watakuwa na dalili za kuwa na matatizo ya kupumua.

Swali la msingi, je njia za kisayansi kupambana na hili tatizo ndio hazifai kabisa kupambana na hili tatizo?

Kwamba kutoa takwimu za wenye tatizo, kufuatilia muingiliano wa watu na kupima watu ili kujua ukubwa wa tatizo hakufai?

Huku uraiani malalamiko kila kukicha kuwa tatizo la watu kushindwa kupumua linaondo watu wa kila namna, raia wa kawaida mpaka wanasiasa nguli.

Watu wenye dhamana ya afya ya Watanzania wapo kimya. Hawajatuambia kwa kiwango gani Nirmcaf imethibitika kupambana na hili tatizo. Maana kama kujifukiza au kunywa tangawizi na malimau mseto pilipili ni hapa Bongo tu tunajua ufanisi wake?
Unataka wakwambie chanjo imefika bandarini?

Hebu acheni ujinga!
 
Ilipuuzia tangu awali. Hakuna upimaji na ikawaamanisha raia kipumbavu kuwa Tanzania haina corona. Mungu amesikiliza maombi. Upumbavu mtupu.
kwani corona imeishi na sisi muda gani!!! maana kama imeingia march mwaka 2020 halafu inaanza kutusumbua leo feb 2021 huoni kama aliyesema haipo mwezi july 2020 alikiwa na hoja ya msingi!!!!
 
Ukiona kondoo wanalandalanda mtani bira uangalizi jua mchungaji kashakula kona kiongozi.. muhimu ni kuchukua hatua za kujilinda wewe na familia yako, hao wajuu wamejaza walinzi wakutosha kwenye mageti yao hata kuwafikia tu nishida! Tutakoumia nisisi wenyewe tusipochukua hatua
 
Back
Top Bottom