Je, Tuliowapa dhamana ya kulinda maisha yetu wameyaweka rehani?

Je, Tuliowapa dhamana ya kulinda maisha yetu wameyaweka rehani?

kwani corona imeishi na sisi muda gani!!! maana kama imeingia march mwaka 2020 halafu inaanza kutusumbua leo feb 2021 huoni kama aliyesema haipo mwezi july 2020 alikiwa na hoja ya msingi!!!!
Nawe shirikisha halmashauri ya kichwa chako. La sivyo nawe ni mpumbavu. Covid 19 imeua sana tangu mwaka jana. Tunao ushahidi wa ndugu na jamaa. Tatizo utasemea wapi
 
Nawe shirikisha halmashauri ya kichwa chako. La sivyo nawe ni mpumbavu. Covid 19 imeua sana tangu mwaka jana. Tunao ushahidi wa ndugu na jamaa. Tatizo utasemea wapi
wewe ng'ombe nini!! mnapimia wapi kujua huyu kafa kwa covid, na huyu kafa kwa pressure!!!!

au ndio yale kila anayekonda anaumwa ukimwi??
 
Tusisubiri takwimu za maambukizi zitutishe ndiyo tuanze kuchukua tahadhari ya kulinda uhai wetu.
 
Hakuna mtu uliempa dhamana ya kulinda maisha yako.Watu ambao wameingia madarakani kwa wizi wa kura ni watu ambao hawayahusu maisha yako.Ni watu ambao wamechukua madaraka wakiwa na nia zao nyingine.

Kwa kifupi ni kwamba Tanzania haijawahi kuchagua viongozi wa kuwaongoza.Viongozi waliopo ni vibaka walioingia madarakani kwa njia ya wizi wa kura kwa nia ya kupigania maslahi yao wanayoyajua wao kwa sababu hawakuwa chaguo la watanzania wala hawajawahi kuchaguliwa na Watanzania.Wewe unaweza kupigania maslahi ya watu ambao hawajakuchagua?!
Kama hukupiga kura ni wewe bro. Sisi tuliwachagua ndio maana wapo madarakani
 
Tusisubiri takwimu za maambukizi zitutishe ndiyo tuanze kuchukua tahadhari ya kulinda uhai wetu.
Takwimu zinakupa taarifa juu ya maambukizi yaliyopo na kufanya ufuatilaji wa muingialiano baina ya waathirika na ambao bado hawajaathirika. Tumia akili .
 
wewe ng'ombe nini!! mnapimia wapi kujua huyu kafa kwa covid, na huyu kafa kwa pressure!!!!

au ndio yale kila anayekonda anaumwa ukimwi??
Mpumbavu na hanithi wa akili wewe.
 
Acha ushabiki wa kisiasa juu ya hii kitu.
hakuna ushabiki wa kisiasa ni fact zinawekwa mezani tujadili sio hisia hapa.

watu hawapimwi, mtu anasema covid iko na imeua sana tokea march mwaka jana, data amezitoa wapi!!!

au anakisia kufurahisha eggo yake.
 
Dalili za watu wanaokufa ni ushahidi tosha mkuu. Maana dalili za Covid19 zipo wazi.
 
Tuepuke mikusanyiko
Ikibidi tukae ndani
Tumeambiwa tujifukize
Hivi ni dawa unadhani?

Ngoja kwanza
Hivi fumigation
Mmm mmm
Baba ile inaua mende
Acha utani

Bwana wa mabwana
Mungu wa miungu
Alpha na Omega
Nani kama wewe?[emoji120]
 
Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushian Nircamf amabayo inawakereketa kohoni

Hii yote ni baada ya Maalim Seif (Rip) amabe anaweka hadharani kuwa anaumwa Covid 19.

Kwa kauli isiyo na kumug'unya maneno tunaambiwa kuwa watu wajifukize na kutumia Nirmcaf kama watakuwa na dalili za kuwa na matatizo ya kupumua.

Swali la msingi, je njia za kisayansi kupambana na hili tatizo ndio hazifai kabisa kupambana na hili tatizo?

Kwamba kutoa takwimu za wenye tatizo, kufuatilia muingiliano wa watu na kupima watu ili kujua ukubwa wa tatizo hakufai?

Huku uraiani malalamiko kila kukicha kuwa tatizo la watu kushindwa kupumua linaondo watu wa kila namna, raia wa kawaida mpaka wanasiasa nguli.

Watu wenye dhamana ya afya ya Watanzania wapo kimya. Hawajatuambia kwa kiwango gani Nirmcaf imethibitika kupambana na hili tatizo. Maana kama kujifukiza au kunywa tangawizi na malimau mseto pilipili ni hapa Bongo tu tunajua ufanisi wake?
Umeambiwa kunywa nimcaf unataka nini zaidi. Au ilimradi kulalamika tuuuuu. Kama hutaki unataka vidonge kaa usubirie tutakupa dozi yako kaburini
 
Kwa kifupi serikali imeshindwa kupambana na covid19. Kila mtu na lwake.
Kwani Kuna serikali iliyofanikiwa kuidhibiti Corona mpaka sasa?.Serikali imeishatoa miongozo ya kiafya tayari kwaiyo kazi kwetu.
 
Kwani Kuna serikali iliyofanikiwa kuidhibiti Corona mpaka sasa?.Serikali imeishatoa miongozo ya kiafya tayari kwaiyo kazi kwetu.
Miongozo ya kupambana na Covid 19 ni kunawa mikono,kuvaa barakoa,kujifukiza kisha kushushia Nircamf?
 
Back
Top Bottom