Je, Tuliowapa dhamana ya kulinda maisha yetu wameyaweka rehani?

Je, Tuliowapa dhamana ya kulinda maisha yetu wameyaweka rehani?

Kama serikali haitaingilia kati hizo habari za kila mtu achukue tahadhari kivyake hazina maana yoyote. Hata huo msemo wa zakuambiwa changanya na zako ni mfu kwa sasa.
Tatizo hamuelewi nini wajibu wa serikali katika majanga kama haya.
Sahvi kila mtu aubebe msalaba wake
Kila mtu achukue tahadhari,zakuambiwa changanya na zako...

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Serikali lazima ihakakishe watu wananawa mikono, wote wanavaa barakoa na hakuna misongamano.
Serikali pekee ndiyo inaweza kusitisha uwepo mashabiki katika mechi za michezo yote, kuzuia daladala kujaza, kusitisha mikusanyiko ya siasa ya ibada, harusi, bar, vipaimara
Kama dawa haipo serikali itafanyaje mzee
Tulishambiwa tunawe mikono,vaa barakoa,tuepuke misongamano isiyokuwa ya
Lazima

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kama Waziri ni vitu maalum vya mteule unatazamia nini kama siyo kujipendekeza na kumfurahisha mteule kwa mapambio, kusifu na kuabudu na taaluma kuwekwa kapuni
Hakuna mtu uliempa dhamana ya kulinda maisha yako.Watu ambao wameingia madarakani kwa wizi wa kura ni watu ambao hawayahusu maisha yako.Ni watu ambao wamechukua madaraka wakiwa na nia zao nyingine.

Kwa kifupi ni kwamba Tanzania haijawahi kuchagua viongozi wa kuwaongoza.Viongozi waliopo ni vibaka walioingia madarakani kwa njia ya wizi wa kura kwa nia ya kupigania maslahi yao wanayoyajua wao kwa sababu hawakuwa chaguo la watanzania wala hawajawahi kuchaguliwa na Watanzania.Wewe unaweza kupigania maslahi ya watu ambao hawajakuchagua?
 
Kama dawa haipo serikali itafanyaje mzee
Tulishambiwa tunawe mikono,vaa barakoa,tuepuke misongamano isiyokuwa ya
Lazima

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Acha unafiki, usipovaa barakoa unapongezwa, mikusanyiko bila taadhali ni kawaida, viongozi hawaonyeshi mfano bora kwa jamii, nawe wajua kiongozi ni kioo!
 
Back
Top Bottom