Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Kwa kifupi serikali imeshindwa kupambana na covid19. Kila mtu na lwake.Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushian Nircamf amabayo inawakereketa kohoni
Hii yote ni baada ya Maalim Seif (Rip) amabe anaweka hadharani kuwa anaumwa Covid 19.
Kwa kauli isiyo na kumug'unya maneno tunaambiwa kuwa watu wajifukize na kutumia Nirmcaf kama watakuwa na dalili za kuwa na matatizo ya kupumua.
Swali la msingi, je njia za kisayansi kupambana na hili tatizo ndio hazifai kabisa kupambana na hili tatizo?
Kwamba kutoa takwimu za wenye tatizo, kufuatilia muingiliano wa watu na kupima watu ili kujua ukubwa wa tatizo hakufai?
Huku uraiani malalamiko kila kukicha kuwa tatizo la watu kushindwa kupumua linaondo watu wa kila namna, raia wa kawaida mpaka wanasiasa nguli.
Watu wenye dhamana ya afya ya Watanzania wapo kimya. Hawajatuambia kwa kiwango gani Nirmcaf imethibitika kupambana na hili tatizo. Maana kama kujifukiza au kunywa tangawizi na malimau mseto pilipili ni hapa Bongo tu tunajua ufanisi wake?
Kama dawa haipo serikali itafanyaje mzeeKwa kifupi serikali imeshindwa kupambana na covid19. Kila mtu na lwake.
Ilipuuzia tangu awali. Hakuna upimaji na ikawaamanisha raia kipumbavu kuwa Tanzania haina corona. Mungu amesikiliza maombi. Upumbavu mtupu.Kama dawa haipo serikali itafanyaje mzee
Tulishambiwa tunawe mikono,vaa barakoa,tuepuke misongamano isiyokuwa ya
Lazima
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Unataka wakwambie chanjo imefika bandarini?Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushian Nircamf amabayo inawakereketa kohoni
Hii yote ni baada ya Maalim Seif (Rip) amabe anaweka hadharani kuwa anaumwa Covid 19.
Kwa kauli isiyo na kumug'unya maneno tunaambiwa kuwa watu wajifukize na kutumia Nirmcaf kama watakuwa na dalili za kuwa na matatizo ya kupumua.
Swali la msingi, je njia za kisayansi kupambana na hili tatizo ndio hazifai kabisa kupambana na hili tatizo?
Kwamba kutoa takwimu za wenye tatizo, kufuatilia muingiliano wa watu na kupima watu ili kujua ukubwa wa tatizo hakufai?
Huku uraiani malalamiko kila kukicha kuwa tatizo la watu kushindwa kupumua linaondo watu wa kila namna, raia wa kawaida mpaka wanasiasa nguli.
Watu wenye dhamana ya afya ya Watanzania wapo kimya. Hawajatuambia kwa kiwango gani Nirmcaf imethibitika kupambana na hili tatizo. Maana kama kujifukiza au kunywa tangawizi na malimau mseto pilipili ni hapa Bongo tu tunajua ufanisi wake?
Hii sio vita ya kupambana individualy.Kwa kifupi serikali imeshindwa kupambana na covid19. Kila mtu na lwake.
Nani kazumguzia habari ya Chanjo? Unajua kusoma we mpuuzi?Unataka wakwambie chanjo imefika bandarini?
Hebu acheni ujinga!
Wanataka waambiwe astrazaneka imefika bandariniKama dawa haipo serikali itafanyaje mzee
Tulishambiwa tunawe mikono,vaa barakoa,tuepuke misongamano isiyokuwa ya
Lazima
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Aibu kubwa sana.Hii ndiyo Tanzania. Tuna wanasayansi ambao hawaamini katika sayansi na ndio wanaotakiwa watuongoze
kwani corona imeishi na sisi muda gani!!! maana kama imeingia march mwaka 2020 halafu inaanza kutusumbua leo feb 2021 huoni kama aliyesema haipo mwezi july 2020 alikiwa na hoja ya msingi!!!!Ilipuuzia tangu awali. Hakuna upimaji na ikawaamanisha raia kipumbavu kuwa Tanzania haina corona. Mungu amesikiliza maombi. Upumbavu mtupu.
Lazima nikuulize hivyo maana unalialia kama vile hauna ubongo πNani kazumguzia habari ya Chanjo? Unajua kusoma we mpuuzi?
Out of point.Wanataka waambiwe astrazaneka imefika bandarini
View attachment 1704881
ππππππππLazima nikuulize hivyo maana unalialia kama vile hauna ubongo π