Mgonga Like
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,256
- 1,663
Hakikia kiongozi! Hakuna njia bora zaidi ya hiyo maana tunauzidi kumia ni sisi wenyewe sio hao walio juuSahvi kila mtu aubebe msalaba wake
Kila mtu achukue tahadhari,zakuambiwa changanya na zako...
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nawe shirikisha halmashauri ya kichwa chako. La sivyo nawe ni mpumbavu. Covid 19 imeua sana tangu mwaka jana. Tunao ushahidi wa ndugu na jamaa. Tatizo utasemea wapikwani corona imeishi na sisi muda gani!!! maana kama imeingia march mwaka 2020 halafu inaanza kutusumbua leo feb 2021 huoni kama aliyesema haipo mwezi july 2020 alikiwa na hoja ya msingi!!!!
Wakati huohuo serikali ilinaandaa tamasha la wasanii Dodoma na watu walijazana kibaoKama dawa haipo serikali itafanyaje mzee
Tulishambiwa tunawe mikono,vaa barakoa,tuepuke misongamano isiyokuwa ya
Lazima
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
wewe ng'ombe nini!! mnapimia wapi kujua huyu kafa kwa covid, na huyu kafa kwa pressure!!!!Nawe shirikisha halmashauri ya kichwa chako. La sivyo nawe ni mpumbavu. Covid 19 imeua sana tangu mwaka jana. Tunao ushahidi wa ndugu na jamaa. Tatizo utasemea wapi
Acha ushabiki wa kisiasa juu ya hii kitu.wewe ng'ombe nini!! mnapimia wapi kujua huyu kafa kwa covid, na huyu kafa kwa pressure!!!!
au ndio yale kila anayekonda anaumwa ukimwi??
Kama hukupiga kura ni wewe bro. Sisi tuliwachagua ndio maana wapo madarakaniHakuna mtu uliempa dhamana ya kulinda maisha yako.Watu ambao wameingia madarakani kwa wizi wa kura ni watu ambao hawayahusu maisha yako.Ni watu ambao wamechukua madaraka wakiwa na nia zao nyingine.
Kwa kifupi ni kwamba Tanzania haijawahi kuchagua viongozi wa kuwaongoza.Viongozi waliopo ni vibaka walioingia madarakani kwa njia ya wizi wa kura kwa nia ya kupigania maslahi yao wanayoyajua wao kwa sababu hawakuwa chaguo la watanzania wala hawajawahi kuchaguliwa na Watanzania.Wewe unaweza kupigania maslahi ya watu ambao hawajakuchagua?!
Takwimu zinakupa taarifa juu ya maambukizi yaliyopo na kufanya ufuatilaji wa muingialiano baina ya waathirika na ambao bado hawajaathirika. Tumia akili .Tusisubiri takwimu za maambukizi zitutishe ndiyo tuanze kuchukua tahadhari ya kulinda uhai wetu.
Unajua kusoma?Wapi nimesema kuwa Watanzania hawakupiga kura?Kama hukupiga kura ni wewe bro. Sisi tuliwachagua ndio maana wapo madarakani
Mpumbavu na hanithi wa akili wewe.wewe ng'ombe nini!! mnapimia wapi kujua huyu kafa kwa covid, na huyu kafa kwa pressure!!!!
au ndio yale kila anayekonda anaumwa ukimwi??
hakuna ushabiki wa kisiasa ni fact zinawekwa mezani tujadili sio hisia hapa.Acha ushabiki wa kisiasa juu ya hii kitu.
Dalili za watu wanaokufa ni ushahidi tosha mkuu. Maana dalili za Covid19 zipo wazi.hakuna ushabiki wa kisiasa ni fact zinawekwa mezani tujadili sio hisia hapa.
watu hawapimwi, mtu anasema covid iko na imeua sana tokea march mwaka jana, data amezitoa wapi!!!
au anakisia kufurahisha eggo yake.
Nasema tulipiga kura na kuchagua serikali iliyopo madarakaniUnajua kusoma?Wapi nimesema kuwa Watanzania hawakupiga kura?
hoja za vichaa huwa ni matusi.Mpumbavu na hanithi wa akili wewe.
Umeambiwa kunywa nimcaf unataka nini zaidi. Au ilimradi kulalamika tuuuuu. Kama hutaki unataka vidonge kaa usubirie tutakupa dozi yako kaburiniUnapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushian Nircamf amabayo inawakereketa kohoni
Hii yote ni baada ya Maalim Seif (Rip) amabe anaweka hadharani kuwa anaumwa Covid 19.
Kwa kauli isiyo na kumug'unya maneno tunaambiwa kuwa watu wajifukize na kutumia Nirmcaf kama watakuwa na dalili za kuwa na matatizo ya kupumua.
Swali la msingi, je njia za kisayansi kupambana na hili tatizo ndio hazifai kabisa kupambana na hili tatizo?
Kwamba kutoa takwimu za wenye tatizo, kufuatilia muingiliano wa watu na kupima watu ili kujua ukubwa wa tatizo hakufai?
Huku uraiani malalamiko kila kukicha kuwa tatizo la watu kushindwa kupumua linaondo watu wa kila namna, raia wa kawaida mpaka wanasiasa nguli.
Watu wenye dhamana ya afya ya Watanzania wapo kimya. Hawajatuambia kwa kiwango gani Nirmcaf imethibitika kupambana na hili tatizo. Maana kama kujifukiza au kunywa tangawizi na malimau mseto pilipili ni hapa Bongo tu tunajua ufanisi wake?
ππππππππUnataka wakwambie chanjo imefika bandarini?
Hebu acheni ujinga!
Kwani Kuna serikali iliyofanikiwa kuidhibiti Corona mpaka sasa?.Serikali imeishatoa miongozo ya kiafya tayari kwaiyo kazi kwetu.Kwa kifupi serikali imeshindwa kupambana na covid19. Kila mtu na lwake.
Miongozo ya kupambana na Covid 19 ni kunawa mikono,kuvaa barakoa,kujifukiza kisha kushushia Nircamf?Kwani Kuna serikali iliyofanikiwa kuidhibiti Corona mpaka sasa?.Serikali imeishatoa miongozo ya kiafya tayari kwaiyo kazi kwetu.