Sahvi kila mtu aubebe msalaba wake
Kila mtu achukue tahadhari,zakuambiwa changanya na zako...
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Pamoja na kuepuka mikusanyiko,ukizingatia hayo utakua salamaMiongozo ya kupambana na Covid 19 ni kunawa mikono,kuvaa barakoa,kujifukiza kisha kushushia Nircamf?
Kama dawa haipo serikali itafanyaje mzee
Tulishambiwa tunawe mikono,vaa barakoa,tuepuke misongamano isiyokuwa ya
Lazima
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu uliempa dhamana ya kulinda maisha yako.Watu ambao wameingia madarakani kwa wizi wa kura ni watu ambao hawayahusu maisha yako.Ni watu ambao wamechukua madaraka wakiwa na nia zao nyingine.
Kwa kifupi ni kwamba Tanzania haijawahi kuchagua viongozi wa kuwaongoza.Viongozi waliopo ni vibaka walioingia madarakani kwa njia ya wizi wa kura kwa nia ya kupigania maslahi yao wanayoyajua wao kwa sababu hawakuwa chaguo la watanzania wala hawajawahi kuchaguliwa na Watanzania.Wewe unaweza kupigania maslahi ya watu ambao hawajakuchagua?
Acha unafiki, usipovaa barakoa unapongezwa, mikusanyiko bila taadhali ni kawaida, viongozi hawaonyeshi mfano bora kwa jamii, nawe wajua kiongozi ni kioo!Kama dawa haipo serikali itafanyaje mzee
Tulishambiwa tunawe mikono,vaa barakoa,tuepuke misongamano isiyokuwa ya
Lazima
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app