Uchaguzi 2020 Je, Tume itapoteza nini ikiruhusu watu wote ambao waliomba kugombea kwa vyama tofauti wagombee bila kujali masharti?

Uchaguzi 2020 Je, Tume itapoteza nini ikiruhusu watu wote ambao waliomba kugombea kwa vyama tofauti wagombee bila kujali masharti?

Yaani Tume yenyewe inateuliwa na Mwenyekiti wa CCM, halafu Tume hiyo hiyo itegemewe kutenda haki kwa vyama vingine!!

Ndiyo maana Watanzania tutaidaia Katiba Mpya mwanzo mwisho ili tu kuondokana na hii Katiba ya Ccm ya mwaka 1977.
 
Tume inafanya kazi isiyowshusu ya kuteulia wananchi wagombea , maagizo kutoka juu yamewachanganya wamekuwa vichaa wavaa suti .Hati katiba ya nchi wanaikiuka openly.
IMG_20200910_181028_8.jpg
 
Tume inasumbuliwa sana na kuyumbishwa na maagizo kutoka kwa king of Bermuda triangle wa kihutu .
 
Hahaha siyo tume sema ccm!,
CCM ikiacha dhuluma inafutika
 
Back
Top Bottom