Je, tumeamua kumfuga huyu chatu na kumruhusu atawale nyumba yetu?

Je, tumeamua kumfuga huyu chatu na kumruhusu atawale nyumba yetu?

Kifo cha chatu dume kimekua cha ghafla sana,yaani ghafula Halafu kikazimwa ghafula mno!!

Tuone hizi ghafla ghafla Zina speculation Gani Kimedani!!

Wale jamaa Huwa wanaanzia mbali sana kama mchezo tu vile!!

MBINCHI kukalishwa benchi kama wale wengine usikute ndio mchezo wenyewe,si unajua wale jamaa wakikushauri A ujue Kuna option B ya huo ushauri unaopewa!ukikataa ushauri wanna option C pia!!
Nakubali lazima Kuna jambo linaendelea.
Inshort ile barua ya MBINCHI inawezekana aliiandika mwenyew na hata kujiuzulu aliwashtukiza sana wanamtandao.

Ile reaction yao ya kumfuta uanachama ilikua ni kujaribu kudandia treni kwa mbele.

Anyway anaefuata sahivi ni GULU CHEMBA naona mbinu ni ile ile.
 
Ya MBINCHI Ilikua "operation yuda"sasa hii ya MBANCHE tuiite "operation singida big stars"..!!

Sasa wanataka ku dissolve muundo wa serikali iliyoanza kazi!!?

Au wanataka kuondoa masalia ya yuda kwenye serikali hii!!?
Ngoja tuone!
 
Back
Top Bottom