Je, tumeamua kumfuga huyu chatu na kumruhusu atawale nyumba yetu?

Nakubali lazima Kuna jambo linaendelea.
Inshort ile barua ya MBINCHI inawezekana aliiandika mwenyew na hata kujiuzulu aliwashtukiza sana wanamtandao.

Ile reaction yao ya kumfuta uanachama ilikua ni kujaribu kudandia treni kwa mbele.

Anyway anaefuata sahivi ni GULU CHEMBA naona mbinu ni ile ile.
 
Ya MBINCHI Ilikua "operation yuda"sasa hii ya MBANCHE tuiite "operation singida big stars"..!!

Sasa wanataka ku dissolve muundo wa serikali iliyoanza kazi!!?

Au wanataka kuondoa masalia ya yuda kwenye serikali hii!!?
Ngoja tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…