Je, tumejichanganya na kizazi kisicho sahihi?

Je, tumejichanganya na kizazi kisicho sahihi?

Unasema hivyo kwa kuwa ulikuwa sebuleni kwako ukiangalia TV. Ile mob ulikuwa huwezi kui control kwa mabomu ya machozi. Risasi za moto ndiyo zimeleleta heshima na utulivu huu tulionao leo
Natamani nikukutanishe na familia 100 za watu waliopoteza watoto wao na wanafamilia halafu ushike kipaza sauti utamke haya maneno, tuone kama utaweza kumaliza dakika 10 ukiwa hai.
 
Natamani nikukutanishe na familia 100 za watu waliopoteza watoto wao na wanafamilia halafu ushike kipaza sauti utamke haya maneno, tuone kama utaweza kumaliza dakika 10 ukiwa hai.
Hizo familia 100 utazitoa wapi? Mimi naishi Dar es Salaam maeneo ya Mbezi Tangi Bovu. Mitaa yote ya jirani nimesikia msiba mmoja tu!!

Acheni ku exaggerate takwimu ili kuhalalisha uwizi na uharibifu wa tarehe 29/10/25
 
Huwa nawaza hivi ikiwa MTU umekaa Tanzania , na unajua vizuri hizi security agency na Serikali yetu je bado mnaona njia ya kuingia barabarani ni salama

Kizazi hiki mmeamua kukitoa Kama mbuzi wa kafara
 
Back
Top Bottom