Je tunaanzisha sera ili kureact/solve tatizo au kukuza nguvu ya itikadi(kutawala)

Je tunaanzisha sera ili kureact/solve tatizo au kukuza nguvu ya itikadi(kutawala)

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Sera ni kiungo muhimu kinachotumika kukabiliana na tatizo linaloikumba jamii, sometimes matatizo hayahitaji sera ili kuyaondoa ila linapokuja jambo la kuanzishwa sera ndiyo tatizo linazidi kuongeza.

Kuna baadhi ya sera huanzishwa ili kuleta mgawanyo kwa asilimia Kubwa nchi zetu za Dunia ya tatu hutumia ili kututawala.

Hutumiwa kama mkakati wa kupambana na wanaharakati sifahamu haswa tatizo linakuwa mamlaka zetu Huwa zinafikiria kutuhudumia kwa njia ya makundi au njia ya kitaalamu ya kureact tatizo.

Je,watungaji wa sera wanauelewa wa muundo wa sera au ndiyo wingi unapitisha sera tu?

Watekelezaji wa sera wanapewa mbinu mbadala za utekelezaji au forcing tactics/blaming techniques?
 
Back
Top Bottom