Food coloring 😔 watu wanakula marangi kumbe ni sarataniTBS na Mamlaka ya chakula na dawa watuambie hizo kemikali zinazowekwa kwenye chakula kama ni salama au hatari kwa afya za watoto, maana hata kwa wakubwa kuna wali wa rangi ya kijani, njano na nyekundu, afadhali pilau rangi yake inajulikana