Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muda flani niliwaza pia kuwa ufisadi na wizi wa mali ya umma ni matokeo yale yale ya kutukuza uzungu! watumishi wengi huiba mali ya umma ili kuweza kuishi maisha kama ya wazungu! nyumba iwe na fenicha za ulaya na magari kibao mengine hayatumiki! mshahara ni mdogo hautoshi kuishi kizungu ufisadi ndo solution! ukiwaza sana utagundua wapi tumetoa izo hisia ni shuleni baada ya kujifunza kila kitu ca mzungu ni bora!

Tumewaathiri kwa kuwapa utajiri wa bure na hawawezi kulitangaza hiliHuko ulaya unafanya nini kama hauabudu ulaya?
Kwa mtazamo wangu historia ya afrika haikamiliki bila kutaja hizo topics. Hata neno africa limetoka kwao.
Wazungu hawaipi kipaumbele historia ya afrika sababu hatukuvamia nchi zao, hatukuwaathiri kwa lolote.
Bandidumzungu, hoja yako ni nzuri lakini maneno uliyotuma duu yanaleta ukakasi. Naamini ungeweza kutumia maneno ya staha na bado hoja yako ingekuwa na nguvu. Tuvumiliane mkuu!Wewe mkund*u kabisa...MTU unapaswa kujijua tangu mwanzoni..ukubwani ni fainali uzeeni...it looks like ulaya pamekugonga manyorrr zako
Development Studies inawezekana lakini Historia haiwezekani?Sasa wewe Marry; Universities watu wana specialize unless uniambie zisomwe na wanaochukua BA's an the like. Sioni umuhimu wa mtu anayesomea Engineering, IT, Electronics, Medical and Natural Sciences, and the like eti asome habari za Tip Tipu. Huo ni zaidi ya mzaha unatuletea hapa. By the way zitakuwa Core au Elective?
Mkuu samahani kwa haya but ndoNilichosema si kufuta izo topics bali ni kuziondoa kwa watoto wetu huko msingi na sekondari wasipoteze kujiamini na tuzisome tukiwa wakubwa chuoni, matured! mimi ni muathirika wa hizo topics ndo maana nilipigana kufika ulaya! na sasa napigana kurudi nyumbani baada ya kuionja ulaya tunayoipigania kufika! naamini one day hizi topics zitafutwa na tutapata pure African scholars si kama sisi tulioumizwa na kutukuza uzungu!
Anasema watoto wafundishwe kuhusu mashujaa wetu, hao mashujaa unawatoa wapi bila colonialism na slave trade?Naona wengi hamjamuelewa dada yetu. Hamaanishi zisifutwe kabisa, anachosema zifundishwe wakati vijana wako well matured. Na hapa ni ktk higher learning institutions.