Averoes
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 985
- 513
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi nyinyi mnadhani utumwa ni wa mtu mweusi tu. Utumwa ulianza katika Roman and Byzantine Empires
Anasema watoto wafundishwe kuhusu mashujaa wetu, hao mashujaa unawatoa wapi bila colonialism na slave trade?
Au akina Kova na Lizabon wawe ndo mashujaa?
Worth reading!Kuna mtu alisema nitetee mada yangu! nimependa sana ile comment! sitetei mada , mada inasimama yenyewe! ukweli mchungu ni kuwa binadamu wamepishana katika uelewa, upeo wa kufikiri na kuona yaliyopita na yajayo na pia pia upeo wa kuona yaliyopita na kuweza kuyahusisha na yaliyopo na yajayo! ukweli mwingine mchungu kumeza ni kuwa binadamu wamepishana katika exposure! pia tatizo laweza kuwa lugha ya kuwasilisha kushindwa kueleweka kwa wengine! si kila mtu anaweza kuelewa unachosema sababu uelewa wetu katika kila jambo pia hutokana au huathiriwa na culture yetu na mazingira tuliyopo ( our traditions, education level, people around us, exposure , time and space ) wakati mwingine katika maisha huwa tunacomment mambo mbalimbali baada ya kusoma au kusikiliza comments za watu wengine! mfano mada yangu ina topics mbili , moja ni kuondolewa kwa colonialism na slave trade topics kwa elementary levels za education na kuwekwa kiswahili kama lugha ya kufundishia ila walio wengi wanaona mada moja tu kwa kuwa hawachukui muda kuwaza binafsi bali hutekwa na mawazo ya wengine! na hili ni tatizo pia kwa bara la afrika kupenda kuigiza mambo badala ya kubuni ya kwake! kujibu hoja baada ya kusoma comments za wengine kwa wasiojua hali hii hupunguza uwezo wa kufikiri binafsi! katika zama hizi kitu kimoja kimejidihirisha, kuwa wabongo tunapenda mno kucomments negatively! it means we are negatively oriented na labda kizazi kijacho kitakuwa positive! kupiga hatua si kitu rahisi, mojawapo ni kuachana na yale uliyoyazoea na kushika mapya na kuyajaribu! kuna watu wataelewa na wengine bahati mbaya hawataelewa!
Nikiri kuwa sikukuelewa vizuri mwanzoni. Lakini hata sasa baada ya ufafanuzi wako
Sawa. Lakini nadhani hoja yangu bado ni "valid" hata baada ya ufafanuzi ulioutoa.
Nikukumbushe tu kuwa bado idadi kubwa ya wanafunzi hawaendi ngazi ya sekondari. Na hata wakifika huko wana uhuru wa kuchagua kama wasome historia au la (wake wa options za science hawatasoma). Na wanaobahatika kufika vyuo vikuu ni wachache zaidi na huko pia wana uhuru wa kuchagua kusoma historia au la. Kwa hivi utaona kuwa kwa hoja hii wanafunzi wengi bado watakosa kuzisoma hizi mada. Ngazi pekee ya elimu ambayo walau ina "guarantee" ya kusoma historia ni shule za msingi.
Pili, sijaelewa kabisa ni jinsi gani mada hizi zimekufanya wewe binafsi ujisikie mnyonge mbele ya watu weupe. Au kwa namna nyingine, ni kwa namna gani zinaendeleza unyonge? Labda tatizo ni namna ulivyofundishwa. Na kama ndiyo, basi suluhisho si kufuta mada bali ni kuboresha namna ya ufundishaji.
Naamini kuwa watu waliofundishwa vizuri mada hizi wanafaida zaidi kuliko wake ambao hawakufundishwa kabisa au waliofundishwa vibaya. Waliofundishwa vizuri watakuwa na hoja madhububuti za kupambana na dhana potofu za unyonge wa Mwafrika.
Hata hivyo nakusifu kwa kuleta mada moto kama hii. Nadhani mjadala wa kina unahitajika. Asante.
Mtu akiwa na wazo tofauti na lako haimaanishi kuwa ana uwezo mdogo wa kuelewa au kufikiri... Kama unaona hueleweki na wengi basi unatakiwa kutoa elimu na kujibu hoja maana lengo la mjadala ni kujenga....Kuna mtu alisema nitetee mada yangu! nimependa sana ile comment! sitetei mada , mada inasimama yenyewe! ukweli mchungu ni kuwa binadamu wamepishana katika uelewa, upeo wa kufikiri na kuona yaliyopita na yajayo na pia pia upeo wa kuona yaliyopita na kuweza kuyahusisha na yaliyopo na yajayo! ukweli mwingine mchungu kumeza ni kuwa binadamu wamepishana katika exposure! pia tatizo laweza kuwa lugha ya kuwasilisha kushindwa kueleweka kwa wengine! si kila mtu anaweza kuelewa unachosema sababu uelewa wetu katika kila jambo pia hutokana au huathiriwa na culture yetu na mazingira tuliyopo ( our traditions, education level, people around us, exposure , time and space ) wakati mwingine katika maisha huwa tunacomment mambo mbalimbali baada ya kusoma au kusikiliza comments za watu wengine! mfano mada yangu ina topics mbili , moja ni kuondolewa kwa colonialism na slave trade topics kwa elementary levels za education na kuwekwa kiswahili kama lugha ya kufundishia ila walio wengi wanaona mada moja tu kwa kuwa hawachukui muda kuwaza binafsi bali hutekwa na mawazo ya wengine! na hili ni tatizo pia kwa bara la afrika kupenda kuigiza mambo badala ya kubuni ya kwake! kujibu hoja baada ya kusoma comments za wengine kwa wasiojua hali hii hupunguza uwezo wa kufikiri binafsi! katika zama hizi kitu kimoja kimejidihirisha, kuwa wabongo tunapenda mno kucomments negatively! it means we are negatively oriented na labda kizazi kijacho kitakuwa positive! kupiga hatua si kitu rahisi, mojawapo ni kuachana na yale uliyoyazoea na kushika mapya na kuyajaribu! kuna watu wataelewa na wengine bahati mbaya hawataelewa!
Nakubaliana na mleta mada. Watanzania tuko too much indoctrinated na ideologies ziloharibu uwezo wetu wa kufikiri huria, tuko pale pale tu kasema yule mtu mmoja basi ndio huyo. Tunaendeshwa na emotions an under mind control. Miaka 54 tumeshindwa kuleta maendeleo ya kweli anagalau katika hii sector moja muhimu ya Elimu. So sishangai kuwa wewe Jack Daniel's unamwona mkorofi mleta mada sababu ya kutetea hoja yake. Ana haki ya kutetea hoja yake kama wewe unavyojipa haki ya kutetea agenda yako na ya wengine wanaotaka kukandamiza hata asitetee ili asizidi kushawishi watu wafaham hoja yake na kuikubali. Wengi tunaompinga tunampinga sababu tunataka ku kandamiza (suppress and quell) maoni yake. Why tunafanya hivyo sababu hatukubali another narrative tunataka ibaki vile vile tulivyo bashiriwa na kufunzwa miaka mingi ilopita.Mtu akiwa na wazo tofauti na lako haimaanishi kuwa ana uwezo mdogo wa kuelewa au kufikiri... Kama unaona hueleweki na wengi basi unatakiwa kutoa elimu na kujibu hoja maana lengo la mjadala ni kujenga....
Kitendo cha watu kujibu hoja yako moja na sio zote mbili haimaanishi moja kwa moja kuwa hawana mawazo binafsi au wametekwa na mawazo ya wengine, la hasha!...mada zinazopendekeza Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia hadi elimu ya juu zipo nyingi (ingawa sio za moja kwa moja) ndio maana wadau wengi hawajikita huko....
Lakini pia, nafikiri mtu akiandika mawazo yanayokinzana na yako ni jambo zuri, ni fursa ya kuwa na mjadala wenye afya....Umedai kwamba kizazi hiki cha watanzania tunapenda kutoa mawazo kinzani na kwamba tunapinga kila jambo...ila nadhani tatizo linakuja pale mtu anapokosa uwezo wa kuvumilia na kujadili mawazo kinzani....
Hapo kwenye:Leo nimeamua kufunguka na ninaomba Mungu sana Mh Waziri wa elimu na taasisi ya ukuzaji mitaala Tanzania isome hii comment yangu thread yangu, ni hivi, mimi ni mwalimu ( nina diploma ya ualimu na nimefundisha somo la historia kwa shule kadhaa za sekondari O and A level kwa miaka kadhaa na nina BA ya Mlimani na Masters ya Social Welfare ya ulaya! na ninaishi ulaya miaka kadhaa now! iko hivi huku ulaya hawasomi kuhusu historia ya Afrika kwenye level za chini ni hadi ufike University ndo unaanza kusoma habari za Afrika! wanajua umuhimu wa historia zao na mila na tamaduni zao! watu wengi hawajui kwa undani kuhusu Afrika zaidi ya jina tu! kuna wazee wa kizungu ukiwaambia unatoka Tanzania wanakuuliza hiyo nchi iko wapi! ninapenda sana kuanzisha mjadala wa kufuta Topics mbili za somo la historia kwa shule za msingi na za sekondari!
Lengo ni wanafunzi waelewe walipotoka, walipo na wanapoelekea....katika mtaala wa somo la historia kuna kipindi( time frame) kwa mfano kuanzia mwaka 1900 hadi leo...inakuwa haina maana kuruka sehemu ya historia iliyobadilisha mfumo mzima wa maisha yetu na kuturudisha nyuma kwa sababu kuna kipindi katika historia kabla ya ukoloni ambapo waafrika na wazungu walikuwa sawa kimaendeleo....Ninapendekeza Topics za Slave Trade na Colonialism zifutwe kwenye mtaala wa shule za msingi na sekondari Tanzania. Hizi topics ni miongoni mwa topics zinazoendeleza unyonge wa Mwafrika na kufuta historia ya Afrika na kuondoa kujiamini kwa mwafrika, zinapoteza kabisa mila na desturi zetu!
Hizi topics zinamfanya mtoto mdogo washule ya msingi anaposoma , kukua akijua wazungu na waarabu ni bora kuliko waafrika na wana nguvu na weledi kuliko mwafrika na kumfanya mtoto angali mdogo kutamani kila kitu cha ulaya
Sidhani kama mtoto mdogo anaweza kuabudu ulaya kwakuwa waliweza kuwachukua mababu zetu na kuwafanya watumwa!. Historia yetu iliathiriwa na ukoloni, hao watu wanaitwa mashujaa kwa sababu ya ukoloni, walitufundisha namna tofauti ya kusali na kuabudu, namna ya kuelimishana, namna ya kupata matibabu n.k. Sasa hivi mila na desturi zetu zinazidi kupotea kwa sababu ya utandawazi na maendeleo. Leo hii wanataka tubadili namna tunavyooana, tena kwa lazima! hii ni kwa sababu wameshazoea kutulazimisha kufanya wanavyotaka wao......Hizi topics zinashusha thamani ya mwafrika na kumfanya kuabudu ulaya! ni topics zinazobeba sehemu kubwa ya somo la historia na kupoteza ufundishwaji wa historia yetu kama nchi na makabila yetu na mashujaa wetu na sayansi yetu na civilization ya yetu ya mwafrika!
Mantiki ya hii sentensi yako ni ipi?Ukweli ni kuwa ulaya pia kuna shida nyingi na kuna wazungu wengi omba omba huku ulaya, na wanaomba kila mtu anaepita njia hata mwafrika!
Ukitaka kufundisha mila na desturi bila kutaja ukoloni ni sawa na kusema tuwafundishe wanafunzi wa shule za msingi na sekondari historia yetu toka mwaka 1961( biashara ya utumwa ilikomeshwa mwaka 1873 na ukoloni ule uliisha mwaka 1961). Hapo ni sawa na kumchukulia mwanafunzi wa kidato cha sita anaesoma mchepuo wenye somo la historia kuwa na uwezo wa kufikiri sawa na wa mwanafunzi wa darasa la nne wa shule ya msingi!!!.....Wakati umefika sasa tunahitaji kuwafundisha watoto wadogo mashuleni mila na desturi zetu na hayo ya slave trade na colonialism wakasome University wakiwa matured!
Au tunaweza kuwa na shule za sekondari na vyuo vinavyotumia kiswahili kufundishia na vile vinavyotumia kiingereza vikaendelea kufanya hivyo kwa maamuzi yao, ili wanafunzi wachague wapi wanapotaka kwenda. Kama ambavyo sasa hivi tuna shule za msingi zinazotumia Kiswahili na zingine zinatumia kiingereza kufundishia na wazazi wanaamua wenyewe wapi wapeleke watoto wao.....i vizuri pia tukisoma kwa kiswahili kuanzia msingi hadi chuo ili tuelewe tunachokisoma! ni hayo tu! naomba kuwasilisha!
Sio kweli kwamba nimemuona mleta mada kama mkorofi kwa kutetea hoja yake...mleta mada hajapendendezwa na idadi ya wachangiaji wengi waliotoa maoni tofauti na yeye, kitu kilichomfanya awashambulie wote wenye mawazo kinzani....pengine alitegemea wengi wangekubaliana na mawazo yake! ila hayo ni mambo ya kawaida.....Nakubaliana na mleta mada. Watanzania tuko too much indoctrinated na ideologies ziloharibu uwezo wetu wa kufikiri huria, tuko pale pale tu kasema yule mtu mmoja basi ndio huyo. Tunaendeshwa na emotions an under mind control. Miaka 54 tumeshindwa kuleta maendeleo ya kweli anagalau katika hii sector moja muhimu ya Elimu. So sishangai kuwa wewe Jack Daniel's unamwona mkorofi mleta mada sababu ya kutetea hoja yake. Ana haki ya kutetea hoja yake kama wewe unavyojipa haki ya kutetea agenda yako na ya wengine wanaotaka kukandamiza hata asitetee ili asizidi kushawishi watu wafaham hoja yake na kuikubali. Wengi tunaompinga tunampinga sababu tunataka ku kandamiza (suppress and quell) maoni yake. Why tunafanya hivyo sababu hatukubali another narrative tunataka ibaki vile vile tulivyo bashiriwa na kufunzwa miaka mingi ilopita.
Hapo kwenye:
NYEKUNDU: Kwa sababu hawataki kufundisha watoto wao uovu walioufanya katika bara hili kwa miongo mingi....
BLUU: Hata sisi watanzania tunajua umuhimu wa historia, mila na tamaduni zetu..ndio maana tunasoma ya kale, ya sasa na yajayo....
KIJANI: Unaweza kujua kwa undani kuhusu sehemu fulani ukiamua tu bila hata kusoma somo la historia shuleni.....
Lengo ni wanafunzi waelewe walipotoka, walipo na wanapoelekea....katika mtaala wa somo la historia kuna kipindi( time frame) kwa mfano kuanzia mwaka 1900 hadi leo...inakuwa haina maana kuruka sehemu ya historia iliyobadilisha mfumo mzima wa maisha yetu na kuturudisha nyuma kwa sababu kuna kipindi katika historia kabla ya ukoloni ambapo waafrika na wazungu walikuwa sawa kimaendeleo....
Ila kingine unachokiongelea hapa, ni athari unazodai wanapata wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kwa kusoma kuhusu utumwa na ukoloni. Ila kwa bahati mbaya haujaja na maelezo yenye mashiko.
Kwa mfano, sidhani kama hayo masomo yanamfanya mwanafunzi kumuona mzungu au muarabu kama ni bora bali anamuona kama mtu mbaya, alietesa watu, asiejali utu wa mtu weusi. Vitu kama hivyo havimfanyi mtoto kutamani kila kitu cha ulaya, kinachomfanya atamani kila kitu cha ulaya sio historia anayoisoma bali ni namna anavyowaona wazungu sasa hivi, namna anavyosimuliwa au anavyosikia kuwa kuna maisha mazuri ulaya, TV anazoangalia, simu n.k. Nina uhakika vitu anavyotamani huyo mtoto sio vya zamani bali ni vya sasa. Nadhani ukafanye utafiti kwanza kuhusu kinachowafanya hao wanafunzi unaowazungumzia kutamani kila kitu cha ulaya....
Sidhani kama mtoto mdogo anaweza kuabudu ulaya kwakuwa waliweza kuwachukua mababu zetu na kuwafanya watumwa!. Historia yetu iliathiriwa na ukoloni, hao watu wanaitwa mashujaa kwa sababu ya ukoloni, walitufundisha namna tofauti ya kusali na kuabudu, namna ya kuelimishana, namna ya kupata matibabu n.k. Sasa hivi mila na desturi zetu zinazidi kupotea kwa sababu ya utandawazi na maendeleo. Leo hii wanataka tubadili namna tunavyooana, tena kwa lazima! hii ni kwa sababu wameshazoea kutulazimisha kufanya wanavyotaka wao......
Historia ni namna anavyoiandika mtu, jamii, nchi au dunia. Historia inaweza kuwa nzuri au mbaya, wala sio jambo la kuonea aibu. Historia haiwezi kufutika ila inaweza kuandikwa.
Sijui kama kweli!.. lakini naona kama hutaki watu wengi wasome kuhusu utumwa na ukoloni, ni kama vile unapendelea watu wachache ndio wasome kuhusu hiyo sehemu ya historia yetu....
Mantiki ya hii sentensi yako ni ipi?
Ukitaka kufundisha mila na desturi bila kutaja ukoloni ni sawa na kusema tuwafundishe wanafunzi wa shule za msingi na sekondari historia yetu toka mwaka 1961( biashara ya utumwa ilikomeshwa mwaka 1873 na ukoloni ule uliisha mwaka 1961). Hapo ni sawa na kumchukulia mwanafunzi wa kidato cha sita anaesoma mchepuo wenye somo la historia kuwa na uwezo wa kufikiri sawa na wa mwanafunzi wa darasa la nne wa shule ya msingi!!!.....
Au tunaweza kuwa na shule za sekondari na vyuo vinavyotumia kiswahili kufundishia na vile vinavyotumia kiingereza vikaendelea kufanya hivyo kwa maamuzi yao, ili wanafunzi wachague wapi wanapotaka kwenda. Kama ambavyo sasa hivi tuna shule za msingi zinazotumia Kiswahili na zingine zinatumia kiingereza kufundishia na wazazi wanaamua wenyewe wapi wapeleke watoto wao.....
WAKATI WATANZANIA WASIOPENDA KUFANYA UCHUNGUZI YA KINIFU NA KWA SABABU WANAKATAA UKWELI MCHUNGU KUWA MENGI WALIYOSOMESHWA SHULENI ILIKUWA NINMFANO WA BOLSHEVIK PROPAGANDA ZA KISOVIETI ENZI ZA SIASA ZA UJAMAA, NA WAKIZIDI CHUKI DHIDI YA WAARABU NA WAHINDI TUMSIKILIZE MHESHIMIWA UHURU KENYATA AKIMKARIBISHA WAZIRI MKUU WA INDIA:Sorry utanisamehe kwa kutomalizia post yako kusoma had mwisho...
Lakini nimegundua kitu..
Hujui na Kama unajua lipo unalotaka kulifunika !! Wewe huna tofauti na dini flan hiv ukiwambia Waarabu walitutawala na kutufanya watumwa wana deny history!! Coz wamekua brainwashed ...au umewaamini wazungu hadi kufikia hutaki kujua walichotufanyia au hutaki kusikia and you are living abroad !! Yeah sure washakutenda kwenye hyo brain yako
1.How can you live without knowing your enemies while they exist in real sense??
2.Unatakaje kujua unakoenda wakati hujui ulikotoka
3.Mi nafikir ni nzuri kwetu hizi mambo the thing is ' hatuna mikakati ya kuchange history ,tunajifunza tu Kama hadithi laiti kweli tungekua tunaitumia ipasavyo tungekua Kama China au Korea,labda tungekua Kama America BT tumekosa vision na mission we just focus on negativity and inferiority
4. Kwa anaejua history vizur can't take Arabs and White as friends or someone to trust!! But we do trust them most while they are our enemies since then!! And these are only happen in African continent!!