Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
- Thread starter
- #81
Ujinga hautusaidii hapa! Hoja ndiyo uthibitisho wa IQ yako sio huo utopolo unaoandika na haukusaidii wewe na yeyote, jaribu kujikita kwenye hojaHuyu kilaza ni jamii ya wale waabudu mizimu.
Unaelewa maana ya swali ngedele wewe??
Soma kichwa cha Uzi na mwanzo wa habari uone iwapo inahitaji nguvu unayoitumia kuandika upumbavu huu!