Je, tunapaswa kumwomba msamaha Hayati Magufuli kwa tulivyomsema na kumdhihaki? Naona mambo hayaendi sasa

Je, tunapaswa kumwomba msamaha Hayati Magufuli kwa tulivyomsema na kumdhihaki? Naona mambo hayaendi sasa

Huyu kilaza ni jamii ya wale waabudu mizimu.
Ujinga hautusaidii hapa! Hoja ndiyo uthibitisho wa IQ yako sio huo utopolo unaoandika na haukusaidii wewe na yeyote, jaribu kujikita kwenye hoja

Unaelewa maana ya swali ngedele wewe??

Soma kichwa cha Uzi na mwanzo wa habari uone iwapo inahitaji nguvu unayoitumia kuandika upumbavu huu!
 
Km ww ni mtu wa imani jaribu sana kumuomba Mungu wako akuondolee mawazo ya aina iyo
 
Nakumbuka ili kuwa kabla hata mwezi kuisha wakaona ulaji kwenye simu bando zikabadirishwa Mara tozo Dah ama kweli msimu wa kula ukifika tutasahau màana njaa itakuwa imepoa
 
Km ww ni mtu wa imani jaribu sana kumuomba Mungu wako akuondolee mawazo ya aina iyo
Na MWenyezi Mungu kasema, usitoe sadaka yako kabla ya kupatana na nduguyo mkuu, na pia, hilo ni swali tuu, wewe huoni maisha yamekuwa moto
 
Nenda kaburini kwake kafagie, Sukuma gang bwana mlikuwa mnamuona huyo mrundi kama mungu mtu!.

Halafu unakuta mtu kama wewe kitumbo mbele mbele kwenye vita ya Russia na Ukraine bila kujuwa athari zake kwa uchumi wa dunia.

Mbaya zaidi unakuta nawewe ni msomi ambaye hata kuchanganua mambo umeshindwa! Haya tuambie Kenya na nchi zingine wakaombe msamaha wapi?
Afadhali kuongozwa na Chotara.
 
Back
Top Bottom