Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
- Thread starter
- #41
Nimefanya hivo first kwasababu ya kufupisha thread isiwe ndefu sana, nimeenda directly to the point, au kuna verse yeyote imetafsiriwa vibaya as per you?Dah aisee! kweli wajinga ndo waliwao! yani hizo quotation za Quran umeweka nusunusu halafu kwenye hiyo Bible umeweka verse zaidi ya moja kwa ulichoki-quote.
Content niliyoiweka ya qur'an ni kubwa kuliko ya bible, mbona hujazungumzia hilo?
Describe hapo uliposema "Kutafuta ukweli"?There is a reason kwanini walio wengi wanaoslimu ni wazungu kwa kuwa ni watu wenye kutafuta ukweli kuliko sisi huku tuonataka kulielewa neno ya Mungu kwa kusimuliwa!
Alaf unaposema neno "kwa kusimuliwa" unazingua kwasababu wote sisi tunaoishi sasaiv duniani, wote tumesimuliwa hizi habari za dini, either ni mkristo au muislamu, lazima utakuwa umesimuliwa either kwa maneno ya kutamkwa au kwa kusoma vitabu vya simulizi(bible/Qur'aan), kwa sababu mm na wewe hatuwepo kipindi hicho(wote tumesimuliwa), alaf acheni kufanya wazungu ni watu weny akili sana kutuzidi, kufanikiwa kuzidi sisi haimaanishi wana akili kuzidi sisi, mafanikio yana kuwa impacted na vitu vingi mkuu.
Ujanja ujanja upi?? Verse hizo nimezitunga mm? "Nimechukua maneno kweny kitabu chenu wenyew alaf nikawauliza maswali bila kejeli yeyote" hii ni sifa ya mtu anayetaka kuchafua uislamu?? Nimeweka kejeli yeyote?Hivi ukifanikiwa kuwahadaa watu wakuona Uislamu ni mbaya kwa ujanja ujanja wako unakuwa umeitendea haki dini yako?