Je, Tundu Lissu amepitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa?

Je, Tundu Lissu amepitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa?

Tukimpa nchi hawezi kutumia fedha za umma bila kibali cha Bunge.Hawezi kuipendelea Wilaya au Mkoa alikozaliwa.Lissu ni Mzalendo Number moja hakuwa mtu wa kuogopa hoja kama jamaa fulani akishindwa hoja anakimbilia risasi.
Aliwahi kumpa dada yake ubunge.

Lakini siyo big deal!
 
Inabidi tubadili maana ya uzalendo.Mzalendo number alionyesha uzalendo kwa kufanya yafuatayo.

Kujenga/kupeleka miradi Wilaya aliyozaliwa kwa kutumia kodi za wananchi (fedha za umma)

1. Chato International Airport
2. Jengo la kisasa CRDB
3. Zimamoto
4. Bohari ya mada ya kanda
5. Hospital ya rufaa
6. VETA kanda
7. Jengo la Mahakama
8. Hotel 5 star TANAPA
9. Hifadhi ya Chato
10. Jengo TAKUKURU
11. ..........
Huo ndio uzalendo wa mujibu wa tafsiri mpya ya Kiswahili.
Hivyo vyote hati miliki ni ya kwake au ni mali ya umma
 
Amepitia.

kwa uwezo wake mkubwa wa kupenda kuhoji na kusimamia Haki bila kuogopa mtu.

aliwahi kuhisiwa kama Afisa kipenyo.
 
Mpandisha uzi ni mtoto wa watu! Watu wa pwani wamenielewa
 
Nadhani alipitia.

Mtu ambae sina hakika kama alipitia ni Mbowe.

Ukishasema Unadhani umemaanisha kuwa nawe huna uhakika hivyo hukupaswa pia kuendelea Kubahatisha kwa Mbowe kwani umeshatuonyesha kuwa huna unachokijua na ni bora ungenyamaza tu uwaache wenye Uhakika watuelezee kwa Utuo hapa.
 
Ni jambo jema.

Anaweza kuwa mzalendo huyu kijana!
Huyu alikula pesa zetu za kodi bure tu, hakuna cha uzalendo wowote, lisaliti likubwa. Ukijumuisha na kichaa juu ndo basi kabisa, kodi zetu zilipotea bure. Ona sasa 'anatumiwa' tu na mabeberu tu.
 
Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu.

Mh Tundu Lissu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa Sheria au kwa kujitolea?

Nia ni njema kabisa.

Ramadhan Kareem!

20210418_211113.jpg
 
Back
Top Bottom