Je, Tundu Lissu amepitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa?

Tukimpa nchi hawezi kutumia fedha za umma bila kibali cha Bunge.Hawezi kuipendelea Wilaya au Mkoa alikozaliwa.Lissu ni Mzalendo Number moja hakuwa mtu wa kuogopa hoja kama jamaa fulani akishindwa hoja anakimbilia risasi.
Aliwahi kumpa dada yake ubunge.

Lakini siyo big deal!
 
Hivyo vyote hati miliki ni ya kwake au ni mali ya umma
 
Amepitia.

kwa uwezo wake mkubwa wa kupenda kuhoji na kusimamia Haki bila kuogopa mtu.

aliwahi kuhisiwa kama Afisa kipenyo.
 
Mpandisha uzi ni mtoto wa watu! Watu wa pwani wamenielewa
 
Nadhani alipitia.

Mtu ambae sina hakika kama alipitia ni Mbowe.

Ukishasema Unadhani umemaanisha kuwa nawe huna uhakika hivyo hukupaswa pia kuendelea Kubahatisha kwa Mbowe kwani umeshatuonyesha kuwa huna unachokijua na ni bora ungenyamaza tu uwaache wenye Uhakika watuelezee kwa Utuo hapa.
 
Ni jambo jema.

Anaweza kuwa mzalendo huyu kijana!
Huyu alikula pesa zetu za kodi bure tu, hakuna cha uzalendo wowote, lisaliti likubwa. Ukijumuisha na kichaa juu ndo basi kabisa, kodi zetu zilipotea bure. Ona sasa 'anatumiwa' tu na mabeberu tu.
 
Tundu Lissu mwache aendelee kupambana na maiti, na bado maiti inamshinda kila siku.

Ajabu ni kwamba maiti inamtesa zaidi ya alipokua hai

Bado kitambo kidogo tuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…