Kisheria ki vipi tena my dear. Mwanasheria mkongwe ndiye wa kwanza kuvunja sheria. Labda kama hakimu awe ame logwaTatizo hamtaki kukubali Tundu Lissu ana IQ kubwa sana kuliko nyinyi. Hivyo mnapo panga figusu zenu za kizamani za kutaka tu kumkomoa, mnatakiwa pia mjipange kisheria na mumtangulie mbele zaidi! Jambo ambalo hamliwezi...
usikae mbali na JF ratiba ya Kampeni za Lissu utawekewa hapa hapa muda mfupi ujaoMkuu Erythrocyte adhabu kama imeisha je ratiba ikoje leo ya Mgombea wa Urais Tundu A. Lissu?
cc Molemo dikteta2020
Unacho sema wewe ni "Conspiracy thoery". Jaribu ku changanua kwa uhalisia wa sasa hiviKuna jambo kubwa linapangwa sirini dhidi ya wapinzani wenye nguvu hasa Tundu A. Lissu...
ccm, tanpol, tume, tiss, serikali, wakurugenzi, msajili wa vyama kwa uchache wanahusika kwenye usiri huo
Asante Mkuu, JF kwa sasa nimepiga kambi kwa hiyo nipo sanausikae mbali na JF ratiba ya Kampeni za Lissu utawekewa hapa hapa muda mfupi ujao
Tatizo hamtaki kukubali Tundu Lissu ana IQ kubwa sana kuliko nyinyi. Hivyo mnapo panga figusu zenu za kizamani za kutaka tu kumkomoa, mnatakiwa pia mjipange kisheria na mumtangulie mbele zaidi! Jambo ambalo hamliwezi...
Kuliko jiwe???Lissu ana uelewa mdogo sana hapa duniani
Ninge waona wana CHADEma watu wa maana sana kama wange funga safari kwenda tume ya uchaguzi kufanya uchunguzi wa kina na kwa ustaarabu ili kuthathmini jinsi gani tume wame jiandaa kwa ajili ya uchaguzi...Tukuulize na wewe, unaamini kabisa kuwa CCM wataiba kura
Paukwa.....pakawaHali ya kifedha si shwari Chadema
CHADEMA wameishiwa hela wamtaka mgombea wao wa uraisi Lisu awe anapanda mabasi ya abiria kama mwendo kasi,daladala na mabasi ya mikoani akienda kampeni sababu chama hakina pesa za kutosha kujaza mafuta kwenye magari ya misafara yake
Unajuaje kama haendi?unampangia?Siku zote mbona haendi?
Ni kipindi cha uchaguzi kamera zote ziko nae...lazima uone..Kutembea kwote huku mbona hatuja kuona vipindi ambavyo sio vya uchaguzi?. Siku zote kuna wageni nuksi na wageni wenye baraka
Trust me, When a popular government official shows up in certain settings for whatsoever reasons, it definitely shows up on the front page of every major tabloidNi kipindi cha uchaguzi kamera zote ziko nae...lazima uone..
Kipindi sio cha uchaguzi kamera zipo chache ndio maana akienda sokoni huoni sana..
Mbona sio rocket science?
Mmebana kila TV na radio,guess what "internet" is out here killing all of you..
Lissu is dominating "internet" numbers ahead of Mawe mara kadhaa...na guess what,ni zaidi ya watu milioni 35 wapo online....wote ni wapiga kura...
Mawe is in deep shit aisee
Nilikuwa nakuona una akili kumbe kilazaHali ya kifedha si shwari Chadema
CHADEMA wameishiwa hela wamtaka mgombea wao wa uraisi Lisu awe anapanda mabasi ya abiria kama mwendo kasi,daladala na mabasi ya mikoani akienda kampeni sababu chama hakina pesa za kutosha kujaza mafuta kwenye magari ya misafara yake