DaudiAiko
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 372
- 310
Wana Jamvi,
Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho na sasa hivi umeanza kusinzia porini. Ila kama wewe ni kama bendera na unafuata upepo basi bendera yako lazima ina peperushwa sana kwa uvumi na tetemeko la Tundu Lissu.
Wote tunafahamu kwamba tume ya uchaguzi ili chukua maamuzi ya kumzuia mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu kushiriki kwenye kampeni kwa muda wa siku saba lakini maamuzi haya tekelezwi ipasavyo na ndio maana tumekuwa na kama gumzo fulani mitaani. Lazima tukubaliane kuwa mikutano ya kampeni na mikusanyiko mikubwa yenye mihemko ya siasa ni vitu viwili visivyo kuwa na tofauti kubwa. Tundu Lissu anaweza akasema kwamba alikuwa sokoni na watu waka mfuata wenyewe lakini ukweli wa mambo ni kwamba yeye mwenyewe ndiye aliye hamasisha mkusanyiko huo wa watu. Jumanne wiki hii, Tundu Lissu ali zuiwa na polisi alipokuwa anaelekea kwenye mkutano wa chama.
Mambo kama haya ambayo lazima yakemewe vikali ni mfano wa mtiririko wa makosa ambayo yanaweza kumfanya akatwe kwenye orodha ya wagombea wa urais mwaka huu au mbaya zaidi kusababisha fujo na ukosefu wa amani kwenye kampeni au uchaguzi. Adhabu aliyopewa Tundu Lissu ni kama onyo kwasababu tume ya uchaguzi ingeweza kuchukua hatua kali zaidi.
Tujaribu kuchambua kwa kina zaidi hali ya uchaguzi sasa hivi na kampeni zinazo endelea. Je, unaamini kwamba Tundu Lissu atashinda uchaguzi?, Je, Tundu Lissu anaamini kwamba atashinda uchaguzi? Je, Tundu Lissu anahisi kwamba amewa shawishi Watanzania kwa kiasi kikubwa kwa njia zilizo halali?
Je, Tundu Lissu ana udhibitisho kwamba njia anayo itumia sasa hivi ni sahihi haswa katika kipindi ambacho ana tumikia adhabu ya tume ya uchaguzi. Ikitokea kwa njia moja au nyingine kwamba Tundu Lissu ana amini ana uwezo wa kushinda uchaguzi kwa njia halali na ana ongoza kwenye kampeni hizi, basi hana haja sana kutu pepesua kwenye wimbi hili la bahari. Lazima tuweze ku tofautisha "Policies" na nia nzuri kwa watanzania wote, "Political stunts" na "Con artistry" zinazo tumika kuwa potosha watu.
Mwisho wa siku maisha ya watanzania wote ni muhimu zaidi kuliko matakwa ya mtu mmoja.
Tafakari,
Jummah Kareem.