Je, Tundu Lissu atakutana na Rais Samia Suluhu Ubelgiji?

16 February 2022
Brussels, Belgium

LIVE : TUNDU LISSU MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA ANA 'SHARE' NASI NINI WALIZUNGUMZA NA MH. RAIS SAMIA HASSAN KWA MUDA WA SAA MOJA MJINI BRUSSELS


Source : Nadj Media Centre
Ni Yeye
 
Wale chawa chonganishi wanawakati mgumu sana!
 
16 February 2022

"HALI YA UTANZANIA INARUDI"

BAADA YA KIKAO NA LISSU, RAIS SAMIA ANENA: "TUSAMEHEANE TUJENGE NCHI"


Kikao kati ya Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu Jijini Brussels, Ubelgiji, kimepokelewa kwa hisia mchanganyiko na kimeibua mjadala katika jamii. Rais anasema ujumbe mzito alioondoka nao kikaoni ni huu:"Tusameheane tujenge nchi." Tundu Lissu anasema wamezungumza kuhusu hali ya nchi yetu. Huu hapa ni uchambuzi wetu mfupi.


Wadau wengi wakiwemo Bi. Helen Kijo-Bisimba , mhariri wa habari Absalom Kibanda wazungumzia kikao hiki kilicho gumzo kubwa sana kwa watanzania na pia jumuiya ya kimataifa ....

Source : SK Media Online TV
 
sio ajabu wakuu,kila raia watanzania ni haki yake kikatiba kuomba au kutakwa kukutana na rais.lkn mm najiuliza kwa nn akina lisu,lema hawataki kurudi nyumbani!!?, shida Nini!!? Wanamuogopa hangaya au !!?
Hata wasiporudi mi naona sawa tu. Ni hiyari yao kutokana na mipango yao.
 
Sasa Hali imetulia? Mbonà fukuto kubwa liko underway
 
Nasikia Chief ndiye aliyemtafuta Lisu. Habar za chini chini zinadai hivyo. Sidhani, Ila bottomline Ni kuwa wamekutana, hopefully something material will come out
 
Mkuu Heshima kwako....
 
Je wewe ni yule tuliambiwa ni nabii!!!😂
 


Watanzania wanahitaji mabadiliko ya kweli na umoja. Vyama vya siasa visiwatumie Watanzania kukidhi mahitaji yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…