Sote tunajua baada ya kushambuliwa LISSU, MBOWE ndio alieongoza mapambano makubwa ya kuokoa maisha ya Lissu kama mwenyekiti wa chama na yeye akiwa mwanachama.
Wengine akina Maryam Sarungi japo wakisupport lakini 99% ya mapambano ya kupambania maisha ya Lissu ni Mbowe pale hospital ya Nairobi na sio mwengine.
Sasa mtu kama huyo basi hata hujali ubinaadam? Anasikiliza kunguni wa pembeni wanaomjaza upepo
Sasa hata hili Lissu halioni? Binaadam gani asie na shukran?
Au hii pia ipo katiba ya chama kwamba mtu akikutwa na majanga mwenyekiti wa chama anatakiwa ajitolee hali na mali kuhakikisha mwanachama wake anapata msaada wa kibaandam kama ilivyo sheria kwamba lazima alipiwe na bunge?
Kwa maana LISSU Aseme mapambano ya kuokoa maisha yake yapo katika katiba ya chama na Mbowe ni wajibu wake kufata katiba, kama hivyo ndivyo, Lissu ana haki ya kumshambulia hadharani, lakini kama mapenzi na ubinaadam wa Mwenyekiti basi LISU anatakiwa aangalie ubinaadam huu na sio kunguni wa pembeni yake.
Anahaki ya kugombea nafasi yoyote ile, lakini kwa style ipi? Na anampinga nani?