Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Unataka kwa mfano raisi aanze kuteua watu kwa kulipa fadhila na siyo sifa?
Mfano amteue nesi mmoja kuwa waziri wa afya sababu alimuudumia vizuri mjukuu wake?
Ateue mmjomba wake aliye msaidia kumlipia ada katibu mkuu kiongozi au mkuuu wa majeshi wakati hawana sifa za nafasi hizo?
Mwenye akili naomba unijibu.

Kwa hivyo Mbowe kafanya kosa sana kumuonea Huruma Lissu kipindi kile angalimuacha tu aaangamie? Unaakili kweli?