Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Arudi kwao koromije akaanze kazi ya kuvuta kokoro au aende kanisani kwa Gwajima awe msaidizi wake.Si ajabu ni yeye Makonda anajipigia promo hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arudi kwao koromije akaanze kazi ya kuvuta kokoro au aende kanisani kwa Gwajima awe msaidizi wake.Si ajabu ni yeye Makonda anajipigia promo hapa.
Mama Samia hawezi kumpatia nafasi tena huyu mkorogajiNaona kawapa hela mje kumtetea humu ndani alipewa madaraka kidogo tuu akaua watu akipewa wengine itakuwaje akae kwa kutulia
Tazama kwanza Avatar yake kaweka ya BashiteUna haki ya kuwa na msimamo huo....
Inawezekana ndiyo kundi la wasiyojulikanaKiongozi anaewanyima watu haki ya kuishi anakuaje mzur? Au nawe ni muuaji mwenzake?
Mpatie familia yako aiongoze katika hilo sipingiWeka mapungufu pembeni, Makonda ni kiongozi mzuri Sana.
Hakuna binadamu asiye na mapungufu(kasoro), Kama yupi nionyesheni.
Mh. Makonda ni kiongozi mzuri ambaye kwa wakati huu utawala huu atatusaidia sana.
Mama Samia ikikupendeza fanya jambo kwa huyu Mtu, Kuna sehemu mbili naziona ana-fit Sana.
1) Waziri wa mambo ya ndani
- Simaanishi aliyepo ni kiongozi mbaya la hasha, Ila bado kuna mambo hayaendi sawa. Wezi wanatulaza macho, huwezi amini nyumba yako Ila usiku kucha unawaza kuwa mlinzi. Mh Makonda ni mtu ambae kwenye utendaji Hana simile. Wizara itabadilika hii, Mama fanya jambo hii wizara inataka Mtu mtata,mbishi na jasiri.
Najua Kuna nafasi za ubunge wa kuteuliwa bado zipo wazi, fanya jambo mama.
2) Mkuu wa mkoa wa Dar
- Watu wanasema TZ ipo dar, kuna ukweli hapo.
Aliyepo ni mzuri Ila yupo slow Sana,Kuna mambo mengi yamekwama kunahitajika Mtu wa ku-push mambo yaende. Huu mkoa unahitaji Mtu mtata sana aina ya makonda.
Mama fanya jambo, aina ya watu kaama Mh.Makonda sio wa kuwaacha kwenye utawala wako.
Jembe hili, Field Marshall
Chini ni picha ya Field Marshall Paul Makonda
View attachment 1747676
Mpatie akuongozee familia yakoWeka mapungufu pembeni, Makonda ni kiongozi mzuri Sana.

Weka mapungufu pembeni, Makonda ni kiongozi mzuri Sana.

Kuna mapungufu yanayoweza kuvumilika, lakini sio mapungufu ya Makonda!! Makonda ni muuaji!! hafai kuwa kiongozi!!Weka mapungufu pembeni, Makonda ni kiongozi mzuri Sana.
Hakuna binadamu asiye na mapungufu(kasoro), Kama yupi nionyesheni.
Mh. Makonda ni kiongozi mzuri ambaye kwa wakati huu utawala huu atatusaidia sana.
Mama Samia ikikupendeza fanya jambo kwa huyu Mtu, Kuna sehemu mbili naziona ana-fit Sana.
1) Waziri wa mambo ya ndani
- Simaanishi aliyepo ni kiongozi mbaya la hasha, Ila bado kuna mambo hayaendi sawa. Wezi wanatulaza macho, huwezi amini nyumba yako Ila usiku kucha unawaza kuwa mlinzi. Mh Makonda ni mtu ambae kwenye utendaji Hana simile. Wizara itabadilika hii, Mama fanya jambo hii wizara inataka Mtu mtata,mbishi na jasiri.
Najua Kuna nafasi za ubunge wa kuteuliwa bado zipo wazi, fanya jambo mama.
2) Mkuu wa mkoa wa Dar
- Watu wanasema TZ ipo dar, kuna ukweli hapo.
Aliyepo ni mzuri Ila yupo slow Sana,Kuna mambo mengi yamekwama kunahitajika Mtu wa ku-push mambo yaende. Huu mkoa unahitaji Mtu mtata sana aina ya makonda.
Mama fanya jambo, aina ya watu kaama Mh.Makonda sio wa kuwaacha kwenye utawala wako.
Jembe hili, Field Marshall
Chini ni picha ya Field Marshall Paul Makonda
View attachment 1747676
Kama umetumwa ishia hapo hapo, hivi Tanzania tumelogwa na nani jamani, mtu kavamia kituo cha redio tena cha washikaji zake, sembuse mimi na wewe pelekeni ujinga wenu na njaa zenu SUKUMA GANG.
wengi akina nani? sijawasikia hao watu.Sio Mimi nakuita hivyo bali watu wengi wanamuita hivyo
huyu Kolomide kuna kipindi alikuwa hawahedhimu waliomtangulia kiumri kabisaKama umetumwa ishia hapo hapo, hivi Tanzania tumelogwa na nani jamani, mtu kavamia kituo cha redio tena cha washikaji zake, sembuse mimi na wewe pelekeni ujinga wenu na njaa zenu SUKUMA GANG.
Naona watu msiojulikana boss wenu yuko motoni, saa hii mnalazimisha mama awarudishe kwenye madaraka ili muendeleze mauaji. Tunamshauri mama asifuate huu ushauri wa kumpa nafasi mtu ambaye mikono yake imejaa damu. Hao mliowaua inatosha, kajiajirini kwenye shughuli halali mlipe kodi tujenge nchi fullstop.Field marshall
Ukiambiwa leta evidences utaanza kulialia
We punguani kweli katika matamko yake ametekeleza lipi? Hebu tafuta mada nyingine sio ya kutuletea jinga hiliNimesema hapo kuwa HAKUNA asiye na mapungufu. Makonda bado ni kiongozi mzuri, uzuri wa kiongozi sio kuongea taratibu Bali ni kutekeleza na kuleta Maendeleo kwa watu
Hii takataka inapaswa kuwa jela na siyo uraiani!! Huyu ana kesi ya kujibu mauaji ya Ben Saanane na utekaji wa Roma Mkatoliki na wengine wengi.Weka mapungufu pembeni, Makonda ni kiongozi mzuri Sana.