Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

Naona kawapa hela mje kumtetea humu ndani alipewa madaraka kidogo tuu akaua watu akipewa wengine itakuwaje akae kwa kutulia
Mama Samia hawezi kumpatia nafasi tena huyu mkorogaji
 
Kama Bar-Shit unamuona Ni kiongozi mzuri sijui huyo unayemuona mbaya atakuaje?
 
Mpatie familia yako aiongoze katika hilo sipingi
 
Mpatie akuongozee familia yako
 
Akaongoze nyumbani kwako
 
Kuna mapungufu yanayoweza kuvumilika, lakini sio mapungufu ya Makonda!! Makonda ni muuaji!! hafai kuwa kiongozi!!
 
Mtu anayejisifia mitandaoni eti hakuna mtu mwenye maisha mazuri kama yeye duniani hivi huwa anawahonga mmushabikie au mapenzi yenu akitajwa nasikia kutapika.
Kama umetumwa ishia hapo hapo, hivi Tanzania tumelogwa na nani jamani, mtu kavamia kituo cha redio tena cha washikaji zake, sembuse mimi na wewe pelekeni ujinga wenu na njaa zenu SUKUMA GANG.
 
Kama umetumwa ishia hapo hapo, hivi Tanzania tumelogwa na nani jamani, mtu kavamia kituo cha redio tena cha washikaji zake, sembuse mimi na wewe pelekeni ujinga wenu na njaa zenu SUKUMA GANG.
huyu Kolomide kuna kipindi alikuwa hawahedhimu waliomtangulia kiumri kabisa
Kasababisha kifo cha Kabwe Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza na kuhamia DSM​
Mikutano yake na wafanyakazi wa Afya aliwatukana hasa, Walimu ndio usiseme​
kwenye Madawa ndio aliwabambikia watu vyesi ili awachalilishe km wakigoma kumnonga gari au pesa​
Huko kusoma na Mwendazake Lake ndio mumrudishe hapana, maumivu ya Warioba na Clouds yalimtoa katika maadili kabisa​
 
Field marshall
Naona watu msiojulikana boss wenu yuko motoni, saa hii mnalazimisha mama awarudishe kwenye madaraka ili muendeleze mauaji. Tunamshauri mama asifuate huu ushauri wa kumpa nafasi mtu ambaye mikono yake imejaa damu. Hao mliowaua inatosha, kajiajirini kwenye shughuli halali mlipe kodi tujenge nchi fullstop.
 
Ukiambiwa leta evidences utaanza kulialia

Evidence ya nini, mlifanya mauaji maana mlijua mifumo itatumika kuficha udhalimu wenu, kisha mseme mpewe ushahidi. Kama mnataka ushahidi, ije kampuni ya nje, na sio vyombo vya hapa nchini ambavyo ni sehemu ya huo uchafu wenu.
 
Nimesema hapo kuwa HAKUNA asiye na mapungufu. Makonda bado ni kiongozi mzuri, uzuri wa kiongozi sio kuongea taratibu Bali ni kutekeleza na kuleta Maendeleo kwa watu
We punguani kweli katika matamko yake ametekeleza lipi? Hebu tafuta mada nyingine sio ya kutuletea jinga hili
 
Serikali ya mama haitokuwa chafu! Mnataka kumchafua kwa kumletea muuaji, mama usikubali huu ujinga atakuharibia huyu
 
Hii takataka inapaswa kuwa jela na siyo uraiani!! Huyu ana kesi ya kujibu mauaji ya Ben Saanane na utekaji wa Roma Mkatoliki na wengine wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…