Je, tutegemee Ridhiwani kuvaa viatu vya baba yake au bado hana ukomavu wa kisiasa?

Lolote linawezekana, kwa miaka ya hivi karibuni amekua na utulivu wa pekee na hayupo kny media. Labda ni kama Mwinyi jr..
 
Labda kuvaa viatu kweli vya baba yake, hiyo inaweza kuwa. Ila kwa kuvaa viatu kwa maana ya kufikia ngazi aliyofikia baba yake, hiyo sahau.

Ova
 
Kabisaa katulia mno QUOTE="Prishaz, post: 50853075, member: 60657"]
Lolote linawezekana, kwa miaka ya hivi karibuni amekua na utulivu wa pekee na hayupo kny media. Labda ni kama Mwinyi jr..
[/QUOTE]
 
Mimi si.muumini wa ukoo kuwa kwenye uongozi hii kwa afrika bado sana.
Ridhiwani ni kama nape, january, ndejembi ,sokoine,mkapa wote ni majina ya baba zao yanawapa likeage lakini hawana uwezo.

Kwenye katiba iwepi kabisa mtu.mmoja.kwenye ukoo akikamata ofisi ya umma basi wengine wakauze mchele kusiwe na conflict of interest kabisa
 
Riziwani hakuna kazi anayoifanya ya maana kama bosi wake mama.angekuwa mshika remote wa msoga siyo baba yake hata huo uwaziri asingeupata.kuna watu wanateuliwa Kwa sababu baba zao waliwahi kuwa viongozi
 
Kuna majina yanajirudia tu, CCM haitupi watu wake. Nyerere, Kikwete, Mwinyi na wengine ni mfano mzuri
 
Riziwani hakuna kazi anayoifanya ya maana kama bosi wake mama.angekuwa mshika remote wa msoga siyo baba yake hata huo uwaziri asingeupata.kuna watu wanateuliwa Kwa sababu baba zao waliwahi kuwa viongozi
Uwezo wa kuongoza anao au hana? Mhukumu kwa uwezo wake!
 
Tulipofikia kwa sasa hakuhitajiki ukomavu tena. As long unamjua fulani ama mtoto wa fulani, you are set for as long as that fulani is alive.

Ukomo wa relevance ya Ridhwan ni mauti ya baba yake.
Hii ni mbaya Sana kwa ustawi wa taifa, Kuna wanachama huko vijijini wanakipambania Sana CCM ila kwa sababu hawatoki familia zenye majina hawatapewa nafasi
 
Hana uwezo wowote zaidi ya jina😂
 
Tatizo la Ridhiwani hana strategist. Uwezo anao ila amezungukwa na wanafiki wenye low IQ wakati yeye IQ yake kubwa ila ndiyo hivyo ana washauri vimeo
 
Tatizo la Ridhiwani hana strategist. Uwezo anao ila amezungukwa na wanafiki wenye low IQ wakati yeye IQ yake kubwa ila ndiyo hivyo ana washauri vimeo
Baba yake anaweza kuwa mshauri mzuri au unasemea chawa wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…