Je, tutegemee Ridhiwani kuvaa viatu vya baba yake au bado hana ukomavu wa kisiasa?

Baba yake anaweza kuwa mshauri mzuri au unasemea chawa wake?
Baba yake alikuwa na strategist wazuri kwa enzi zake lakini hawafai kwa sasa. Anatakiwa afahamu watanzania wa sasa wanahitaji nini? Ajue Chama chetu kinahitaji nini? Kwa hiyo anatakiwa kabisa aajili jopp la watalaamu wa kuchambua na kumshauri kabla ya kuja front. Ila akiendelea kukaa meza moja na washauri wake wakuu kama akina Mwana FA, au akina Bashe atapotea. Yaani ajiweke pembeni, awe na jopo lake la wanasheria, wapanga mikakati, na wenye kuelewa propaganda ili waweze kumsaidia njia ya kuja kuwa rais
 
Kuwa Rais Tanzania unatakiwa kuwa na ushawishi kwa wanachama, Hawa strategists wengi wanaangalia maslahi yao binafsi.

Kuhusu Bashe, sidhani Kama ana ukaribu na Ridhiwani, kwa sababu wakati ule alikuwa Team Lowassa RIP, mzee Kikwete alikuwa kamati ya kukata majina sijui Kama washasameheana.
 
Ndugu zangu, Jana usiku tumepokea taarifa kupitia ukurasa wa Ikulu mawasiliano juu ya Utenguzi na Uteuzi. Habari kubwa ni kuhusu kutenguliwa kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ndg January Makamba pamoja na Ndg Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano na teknolojia ya Habari.

Sasa wengi wamejielekeza kuhusu utenguzi huo, Mimi naomba tuangalie kwa jicho la tatu tunamuona aliyekuwa naibu waziri Mh Ridhiwani Kikwete sasa anakuwa waziri ofisi ya Waziri mkuu kwake hii ni promotion.

Kwakuwa mtoto wa nyoka ni nyoka, je tumtegemee Mh Ridhiwani kuvaa viatu vya baba yake au bado hana ukomavu wa kisiasa? Je, January anastahili nafasi nyingine? Au tumsapoti huko AU?

Je tutegemee mvurugano ndani ya chama tawala au ni mipango inasukwa?

Karibuni wanabodi
January makamba na nape aliyewaharibia maisha ni jpm a.k.a dictator uchwara
 
Ndugu zangu, Jana usiku tumepokea taarifa kupitia ukurasa wa Ikulu mawasiliano juu ya Utenguzi na Uteuzi. Habari kubwa ni kuhusu kutenguliwa kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ndg January Makamba pamoja na Ndg Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano na teknolojia ya Habari.

Sasa wengi wamejielekeza kuhusu utenguzi huo, Mimi naomba tuangalie kwa jicho la tatu tunamuona aliyekuwa naibu waziri Mh Ridhiwani Kikwete sasa anakuwa waziri ofisi ya Waziri mkuu kwake hii ni promotion.

Kwakuwa mtoto wa nyoka ni nyoka, je tumtegemee Mh Ridhiwani kuvaa viatu vya baba yake au bado hana ukomavu wa kisiasa? Je, January anastahili nafasi nyingine? Au tumsapoti huko AU?

Je tutegemee mvurugano ndani ya chama tawala au ni mipango inasukwa?

Karibuni wanabodi
Avae viatu aende wapi?
 
Kuwa Rais Tanzania unatakiwa kuwa na ushawishi kwa wanachama, Hawa strategists wengi wanaangalia maslahi yao binafsi.

Kuhusu Bashe, sidhani Kama ana ukaribu na Ridhiwani, kwa sababu wakati ule alikuwa Team Lowassa RIP, mzee Kikwete alikuwa kamati ya kukata majina sijui Kama washasameheana.
Ni kweli wengi wanakuwa chawa ila akiwa professional kwa kuajili watu ambao ni competent based on their ability na siyo based on kujuana watamsaidia. Bashe ni mjanja alitumia professional kipindi cha Dkt Magufuli wakawa wanamsaidia kuchambua na hatimaye Dkt Magufuli akamuona. Kinachotakiwa kwa Ridhiwani ni kujibambanua awe peke yake ajipange
 
Sifa kuu ya kiongozi ni uwezo wa kuwaunganisha watu wake, kuwa muadilifu kuweka mbele maslahi ya Taifa .kazi hii Siyo rahisi
Unaweza kutokuwa mropokaji lakini huwezi kuwangunisha watu, sio muadilifu na huweki mbele maslahi ya taifa.
 
Ndugu zangu, Jana usiku tumepokea taarifa kupitia ukurasa wa Ikulu mawasiliano juu ya Utenguzi na Uteuzi. Habari kubwa ni kuhusu kutenguliwa kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ndg January Makamba pamoja na Ndg Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano na teknolojia ya Habari.

Sasa wengi wamejielekeza kuhusu utenguzi huo, Mimi naomba tuangalie kwa jicho la tatu tunamuona aliyekuwa naibu waziri Mh Ridhiwani Kikwete sasa anakuwa waziri ofisi ya Waziri mkuu kwake hii ni promotion.

Kwakuwa mtoto wa nyoka ni nyoka, je tumtegemee Mh Ridhiwani kuvaa viatu vya baba yake au bado hana ukomavu wa kisiasa? Je, January anastahili nafasi nyingine? Au tumsapoti huko AU?

Je tutegemee mvurugano ndani ya chama tawala au ni mipango inasukwa?

Karibuni wanabodi
Viatu vya baba yake ni vichafu.asivivae
 
Je itakuja ishara ya kuwapa upinzani nafasi?? Wataacha kutumia bao la mkono?
Bidden atalazimisha kugombea, atafanya Hila Kwa Mpinzani wake Ili kumtoa ktk mbio, Hila zitashindwa Kisha atajisalimisha Kwa kurudisha kijiti baada ya Pumzi ya kushindana kuisha.

EA Tumepewa Ishara 🤔
 
Ndugu zangu, Jana usiku tumepokea taarifa kupitia ukurasa wa Ikulu mawasiliano juu ya Utenguzi na Uteuzi. Habari kubwa ni kuhusu kutenguliwa kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ndg January Makamba pamoja na Ndg Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano na teknolojia ya Habari.

Sasa wengi wamejielekeza kuhusu utenguzi huo, Mimi naomba tuangalie kwa jicho la tatu tunamuona aliyekuwa naibu waziri Mh Ridhiwani Kikwete sasa anakuwa waziri ofisi ya Waziri mkuu kwake hii ni promotion.

Kwakuwa mtoto wa nyoka ni nyoka, je tumtegemee Mh Ridhiwani kuvaa viatu vya baba yake au bado hana ukomavu wa kisiasa? Je, January anastahili nafasi nyingine? Au tumsapoti huko AU?

Je tutegemee mvurugano ndani ya chama tawala au ni mipango inasukwa?

Karibuni wanabodi
Anaweza ila baada ya miaka 10 ya Mkristo yaani uchaguzi wa 2040 sijui atakuwa na miaka mingapi.

Assuming ajaye baada ya Samia atamaliza miaka 10
 
Back
Top Bottom