choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Kuna kitu kinaitwa re categorization, huwa mara nyingi naona watu wanatoka ualimu kwenda uhasibu, uchumi, uanasheria, nk ila ni nadra sana kusikia mtu anaomba recategorization atoke uhasibu, uchumi nk kwenda ualimu. Sababu ni nini hasa?