Je, Ualimu ni daraja la mwisho kwa utumishi?

Tatizo lao hawapendi biashara, sio walimu tu. Watumishi wengi ni wategemezi wa mishahara yao pekee.

Ila kwa walimu ni too much, shule nzima walimu wote wanategemea mshahara kwa 100%, akikopa basi kajenga, akikopa kanunua gari, kanunua sijui kiwanja. Yani makitu yasiyozalisha, sio risk takers.

Mtu kafanya kazi miaka kibao, ana uwezo wa kukopa mipesa mingi still anauza ubuyu wa sh.50 na penseli kwa wanafunzi.. aiseeee huwa nashangaa sana.

Lakini huenda kuna kitu sisi tulio nje hatukijui na wao wanapitia hadi wanakua sio wafanyabiashara au matajiri, badala yake wategemee mshahara pekee.
 
Kuna mwalimu alinifundisha shule ya msingi. Miaka 20 mbele nimekutana naye benk Magomeni, naomba niungane na wewe kusema huenda kuna kitu sisi tulio nje hatukijui
 
Huenda mkuu, ni tofauti na kada nyingine.
Au labda maendeleo kwao ni kujenga tu, wengi huwa wanajenga na au kununua gari. Ataishi ivo mpaka uzeeni akipata mafao ataongeza nyumba za kupanga, mashamba na kulipa ada za watoto na starehe kwishaaa.
 
Kuna kitu kinaitwa re categorization, huwa mara nyingi naona watu wanatoka ualimu kwenda uhasibu, uchumi, uanasheria, nk ila ni nadra sana kusikia mtu anaomba recategorization atoke uhasibu, uchumi nk kwenda ualimu. Sababu ni nini hasa?
Tatizo walimu wanafanya kazi kubwa malipo kidogo, hakuna upigaji kwa kuwa hakuna pesa za malipo nje ya muda wa kazi, maagizo ya vitisho kutoka kwa viongozi wa tamisemi, wizara ya elimu, utumishi, tsc, wakurugenzi, wakuu wa wilaya, mkoa etc.

Kutopanda madaraja, kucheleweshewa nauri, hakuna posgo na mengine mengi. Kiukweli kada hii inanyonywa sana.

Kwa hali hii hata wanafunzi hawavutiwi wala kutamani kuwa walimu usitegemee kuona watumishi kuhamia ualimu.
 
Unadharaulika sababu hauna Rushwa na client wake sio watumishi ni watoto na vijana
Ni hatari sana wananchi kuanza kusifia rushwa, yaani MLA rushwa anaheshimiwa zaidi ya asiyekuwa rushwa!
Hii inapelekea kuua taifa, na wananchi wanakuwa wapumbavu, inakuwa bora wangezaliwa mbuzi au nguruwe tu, kuliko kuwa binadamu usiyejitambua!

Inawezekanaje, askari aliyepata div.4 ya 28, akawekwa barabarani kusimamia Sheria, akavimbisha tumbo kwa rushwa, eti anaheshimiwa na jamii, kuliko Mwalimu aliyefaulu Kwa div.2, na akaenda mpaka chuo kikuu, maxima digrii yake ya elimu, na kufaulu kwa upper second award, halafu jamii hiyo hiyo anayoitumikia inamdharau! Eti sababu kazi yake Haina mianya ya rushwa [emoji848][emoji848][emoji848] (hivi hawa nao wanaodharau taaluma ya walimu ni binadamu kamili?)

Halafu wakati huo huo wanawahimiza watoto wao kufundishwa na walimu hao hao, Sasa kwanini Kila mtu mwenye kudharau walimu asifundishe watoto wake nyumbani kwake?

Taifa linaendekeza rushwa kiasi kwamba wasiokuwa na nafasi za kuikoboa rushwa wanaonekana dhaifu, na wanaoikoboa rushwa ndo wanaonekana mashujaa, nchi yangu, nchi yangu, nchi yangu!
 
Ualimu ni kazi inayodharauliwa na Kila mtu

Kuna mtu aliacha kazi ya ualimu akawa bodaboda
Kama wewe
Mnawaponda sawa, MWAMBIENI KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU AWALIPE WALIMU PESA ZAO ZA LIKIZO naona wanalalamika Sana. WALIMU nao ni Watumishi kama walivyo wengine waheshimuni.
 
Ni hatari sana wananchi kuanza kusifia rushwa, yaani MLA rushwa anaheshimiwa zaidi ya asiyekuwa rushwa!
Hii inapelekea kuua taifa, na wananchi wanakuwa wapumbavu, inakuwa bora wangezaliwa mbuzi au nguruwe tu, kuliko kuwa binadamu usiyejitambua!

Inawezekanaje, askari aliyepata div.4 ya 28, akawekwa barabarani kusimamia Sheria, akavimbisha tumbo kwa rushwa, eti anaheshimiwa na jamii, kuliko Mwalimu aliyefaulu Kwa div.2, na akaenda mpaka chuo kikuu, maxima digrii yake ya elimu, na kufaulu kwa upper second award, halafu jamii hiyo hiyo anayoitumikia inamdharau! Eti sababu kazi yake Haina mianya ya rushwa [emoji848][emoji848][emoji848] (hivi hawa nao wanaodharau taaluma ya walimu ni binadamu kamili?)

Halafu wakati huo huo wanawahimiza watoto wao kufundishwa na walimu hao hao, Sasa kwanini Kila mtu mwenye kudharau walimu asifundishe watoto wake nyumbani kwake?

Taifa linaendekeza rushwa kiasi kwamba wasiokuwa na nafasi za kuikoboa rushwa wanaonekana dhaifu, na wanaoikoboa rushwa ndo wanaonekana mashujaa, nchi yangu, nchi yangu, nchi yangu!
Usipo iba wewe mwenzako ataiba
 
Back
Top Bottom