Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Kama weweKwangu unawasifia ila post za wengine unawaponda za uso [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tupo pamoja walimu wengi hawajiongezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama weweKwangu unawasifia ila post za wengine unawaponda za uso [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tupo pamoja walimu wengi hawajiongezi
HhhahahaNingekuwa rais ningeweka maslahi ya hii kada bora kuliko ya mbunge
UsitamaniNingekuwa rais ningeweka maslahi ya hii kada bora kuliko ya mbunge
Hata walimu wenyewe wakitaka.. wagomee nchi nzima hadi waboreshewe stahiki zaoNingekuwa rais ningeweka maslahi ya hii kada bora kuliko ya mbunge
Walivyowengi mtaani ,hakuna huo uthubutuHata walimu wenyewe wakitaka.. wagomee nchi nzima hadi waboreshewe stahiki zao
Mataifa mengine mbona wame weza ?Walivyowengi mtaani ,hakuna huo uthubutu
Kuna mwalimu alinifundisha shule ya msingi. Miaka 20 mbele nimekutana naye benk Magomeni, naomba niungane na wewe kusema huenda kuna kitu sisi tulio nje hatukijuiTatizo lao hawapendi biashara, sio walimu tu. Watumishi wengi ni wategemezi wa mishahara yao pekee.
Ila kwa walimu ni too much, shule nzima walimu wote wanategemea mshahara kwa 100%, akikopa basi kajenga, akikopa kanunua gari, kanunua sijui kiwanja. Yani makitu yasiyozalisha, sio risk takers.
Mtu kafanya kazi miaka kibao, ana uwezo wa kukopa mipesa mingi still anauza ubuyu wa sh.50 na penseli kwa wanafunzi.. aiseeee huwa nashangaa sana.
Lakini huenda kuna kitu sisi tulio nje hatukijui na wao wanapitia hadi wanakua sio wafanyabiashara au matajiri, badala yake wategemee mshahara pekee.
Huenda mkuu, ni tofauti na kada nyingine.Kuna mwalimu alinifundisha shule ya msingi. Miaka 20 mbele nimekutana naye benk Magomeni, naomba niungane na wewe kusema huenda kuna kitu sisi tulio nje hatukijui
Wame set standard sio kila mtu anaweza kuwa mwalimuMataifa mengine mbona wame weza ?
Elimu ya msingi ulifundishwa nani?Kuna kitu kinaitwa re categorization, huwa mara nyingi naona watu wanatoka ualimu kwenda uhasibu, uchumi, uanasheria, nk ila ni nadra sana kusikia mtu anaomba recategorization atoke uhasibu, uchumi nk kwenda ualimu. Sababu ni nini hasa?
Kwamba?Elimu ya msingi ulifundishwa nani?
Tatizo walimu wanafanya kazi kubwa malipo kidogo, hakuna upigaji kwa kuwa hakuna pesa za malipo nje ya muda wa kazi, maagizo ya vitisho kutoka kwa viongozi wa tamisemi, wizara ya elimu, utumishi, tsc, wakurugenzi, wakuu wa wilaya, mkoa etc.Kuna kitu kinaitwa re categorization, huwa mara nyingi naona watu wanatoka ualimu kwenda uhasibu, uchumi, uanasheria, nk ila ni nadra sana kusikia mtu anaomba recategorization atoke uhasibu, uchumi nk kwenda ualimu. Sababu ni nini hasa?
Ni hatari sana wananchi kuanza kusifia rushwa, yaani MLA rushwa anaheshimiwa zaidi ya asiyekuwa rushwa!Unadharaulika sababu hauna Rushwa na client wake sio watumishi ni watoto na vijana
Ualimu ni kazi inayodharauliwa na Kila mtu
Kuna mtu aliacha kazi ya ualimu akawa bodaboda
Mnawaponda sawa, MWAMBIENI KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU AWALIPE WALIMU PESA ZAO ZA LIKIZO naona wanalalamika Sana. WALIMU nao ni Watumishi kama walivyo wengine waheshimuni.Kama wewe
Usiwajali hao wanaupondea walimu wengi ni makapuku kama alivyo mpwayungu villageMnawaponda sawa, MWAMBIENI KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU AWALIPE WALIMU PESA ZAO ZA LIKIZO naona wanalalamika Sana. WALIMU nao ni Watumishi kama walivyo wengine waheshimuni.
Naona Mpwayungu umeibukia kwenye nyuzi za watu. Vipi wewe lini utapost nyuzi yako? Maana umekaa kimya muda mrefu, tunahitaji nyuzi zako!Watu wanaomba watoke kwenye ualimu wawe walinzi
Usipo iba wewe mwenzako ataibaNi hatari sana wananchi kuanza kusifia rushwa, yaani MLA rushwa anaheshimiwa zaidi ya asiyekuwa rushwa!
Hii inapelekea kuua taifa, na wananchi wanakuwa wapumbavu, inakuwa bora wangezaliwa mbuzi au nguruwe tu, kuliko kuwa binadamu usiyejitambua!
Inawezekanaje, askari aliyepata div.4 ya 28, akawekwa barabarani kusimamia Sheria, akavimbisha tumbo kwa rushwa, eti anaheshimiwa na jamii, kuliko Mwalimu aliyefaulu Kwa div.2, na akaenda mpaka chuo kikuu, maxima digrii yake ya elimu, na kufaulu kwa upper second award, halafu jamii hiyo hiyo anayoitumikia inamdharau! Eti sababu kazi yake Haina mianya ya rushwa [emoji848][emoji848][emoji848] (hivi hawa nao wanaodharau taaluma ya walimu ni binadamu kamili?)
Halafu wakati huo huo wanawahimiza watoto wao kufundishwa na walimu hao hao, Sasa kwanini Kila mtu mwenye kudharau walimu asifundishe watoto wake nyumbani kwake?
Taifa linaendekeza rushwa kiasi kwamba wasiokuwa na nafasi za kuikoboa rushwa wanaonekana dhaifu, na wanaoikoboa rushwa ndo wanaonekana mashujaa, nchi yangu, nchi yangu, nchi yangu!