YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Walimu wako malaki huo utafiti wako uliufanya wapi? Akili huna wewe eti unadharaukiwa na kila pumbavu weweUalimu ni kazi inayodharauliwa na Kila mtu
Ulihoji wapi?
Maraisi wengi nchi hii walikuwa walimu au watoto wa walimu
Nyerere alikuwa mwalimu akawa Raisi na mkewe alikuwa mwalimu ,Mwinyi alikuwa mwalimu mwenye diploma ya ualimu ya Makerere na akafundisha akawa Raisi na mkewe alikuwa mwalimu,Mkapa alikuwa Mwalimu
Kikwete alikuwa Mwalimu na mkewe mama Salma alikuwa mwalimu mkewe sasa ni mbunge wa jimbo sio viti maalumu wananchi waliheshimu ualimu wake wakqmpa kura
Magufuli alikuwa Mwalimu akifundisha lake sekondari na mkewe ni Mwalimu alikuwa akifundisha shule ya msingi Osyterbay
Mama Samia baba yake akikuwa Mwalimu
Wapiga kura mbona wote wanawapa kura walimu au watoto wa walimu
Kifupi mleta mada wahi mirembe utibiwe mapema ukichaa utapanda muda sio mrefu utatupa nguo na kutembea uchi barabarani