Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
mpwayungu village 2.0FANI YA UALIMU NI ZERO KABISA.
Serekali iingilie kati hii yafani maana ina watu wa hovyo sanaa.
wana maisha magumu na hawana mawazo ya kutoka huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpwayungu village 2.0FANI YA UALIMU NI ZERO KABISA.
Serekali iingilie kati hii yafani maana ina watu wa hovyo sanaa.
wana maisha magumu na hawana mawazo ya kutoka huko
Wewe ni mpwayungu village 2.0tatizo umekariri kuwa mtu anayeisema ukweli kuhusu ualimu ni mpwayungu.
Unatumia nguvu nyingi sana kujaribu kutufananisha ili ionekane ni mtu mmoja anawasema walimu ili hali umesahau kuwa jamii imeanza kufunguka macho kuwa ualimu ni takataka
Askari anamzidi nn mwalimu ukiacha hyo recession?tatizo umekariri kuwa mtu anayeisema ukweli kuhusu ualimu ni mpwayungu.
Unatumia nguvu nyingi sana kujaribu kutufananisha ili ionekane ni mtu mmoja anawasema walimu ili hali umesahau kuwa jamii imeanza kufunguka macho kuwa ualimu ni takataka
GSO inahusika na nini?Wanasheria Wana kitanzi Cha Tanganyika school of Law.
Wahasibu Wana mziki wa NBAA
Taaluma nyingine Wana pambana mno mfano Wahandisi, Watabibu, Watu wa Manunuzi
Ila Mwalimu ni bora liende tu.
Hakuna ushindani
Hakuna kujiongeza maarifa
Anaye toboa anawaza kubadilisha fani tu.
Wanajeshi, polisi, Magereza, uhamiaji, TISS, GSO hizi ni taaluma nyingine kabisa ambazo siwezi kuzijua.
Aahaaaajhuyu[mention]Kilimbatzz [/mention] anaona wivu kwamba hatma ya maisha yake ni ya chini na ana status ndogo kwenye jamii kutokana na ualimu wake.
ananionea wivu mimi niliyehaso na kupiga coz ngumu ya geology na kubahatika kufanya kazi nje ya nchi.
Ni ukweli usiyopingika kuwa ualimu kwenye jamii umedharaulika sanaaa.
Kuna mmoja mwalimu wa shule X alitaka kumuoa dada yangu anayenifatiaa alifukuzwa kama mbwa na akanyimwa mke sababu ya ualimu
Relax mkuu huyo Riyan ni mwalimu kama alivyo mpwayungu village sema hawajajikubali tuTusiwadharau sana waalimu ukute kakuzidi maisha na kipato. Hao mnaowadharau ndio wanawafundisha ngedere wenu mliowapat mkiwa hamjielewi. Unadharau mwalimu kesho unapeleka mtoto shule asipoelewa unarudi kulalama wakati ulikua mstari wa mbele kuwadharau. Muda mwingine tuache mambo ya mikumbo
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu[mention]Kilimbatzz [/mention] anaona wivu kwamba hatma ya maisha yake ni ya chini na ana status ndogo kwenye jamii kutokana na ualimu wake.
ananionea wivu mimi niliyehaso na kupiga coz ngumu ya geology na kubahatika kufanya kazi nje ya nchi.
Ni ukweli usiyopingika kuwa ualimu kwenye jamii umedharaulika sanaaa.
Kuna mmoja mwalimu wa shule X alitaka kumuoa dada yangu anayenifatiaa alifukuzwa kama mbwa na akanyimwa mke sababu ya ualimu
Wana ushamba sana asee jambo lisemwe mara kadhaa ili hao waalimu wastuke ila sio kuwakandia kilabsiku wakati wapo wenye maisha safi zaidi yao. Hii ni tabia mbaya sana tusijisahau sanaRelax mkuu huyo Riyan ni mwalimu kama alivyo mpwayungu village sema hawajajikubali tu
Sijui nimeandika tu maana naonaga Hilo neno nikigoogleGSO inahusika na nini?
Riyan na mpwayungu village hawana maisha yeyote wale makapuku tuWana ushamba sana asee jambo lisemwe mara kadhaa ili hao waalimu wastuke ila sio kuwakandia kilabsiku wakati wapo wenye maisha safi zaidi yao. Hii ni tabia mbaya sana tusijisahau sana
Shemejiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Riyan na mpwayungu village hawana maisha yeyote wale makapuku tu
mpwayungu village acha ujaja ujanjaView attachment 2575953
usimalize maneno kijana mwalimu wa hovyo.
naishi vizuri sana na napata hela kwa dola mzee siyo kama ww unakinga kimshahara cha kada wa sisiemu. sipelekeshwi na wanasiasa nasafiri kwenda nje ya nchi anytime i want.
Mimi ni certified Geologist toka TGS.
naheshimika na jamii pamoja na nchi yangu,
ukinichukua mimi na wewe tukasimama kwenye jamii na tukaulizwa nani ni BINADAMU ntaambiwa mimi
KATAAA UALIMUU NI WA HOVYOOOOO
Huyo alifukuzwa kazi.Ualimu ni kazi inayodharauliwa na Kila mtu
Kuna mtu aliacha kazi ya ualimu akawa bodaboda
Jibu murua kabisa.Unadharaulika sababu hauna Rushwa na client wake sio watumishi ni watoto na vijana