choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Hata hivo hulazimishwi mkuu,afu mnawalalamikia wahusika na wakati wapoUalimu ni kazi inayodharauliwa na Kila mtu
Kuna mtu aliacha kazi ya ualimu akawa bodaboda
Pengine kweli maana huko mwenye uwezo wa kula rushwa ni mkuu wa shule tuuUnadharaulika sababu hauna Rushwa na client wake sio watumishi ni watoto na vijana
Bado tuna mengi ya kuyajuaWakuu tupumzisheni.
Watu wanaomba watoke kwenye ualimu wawe walinzimpwayungu village njoo wanakuita huku.
Wewe ni ticha [emoji28][emoji28][emoji28]Pengine kweli maana huko mwenye uwezo wa kula rushwa ni mkuu wa shule tuu
By teaching, ndio nataka nika postgraduate ualimuWewe ni ticha [emoji28][emoji28][emoji28]
Labda walinzi wa migodini,Watu wanaomba watoke kwenye ualimu wawe walinzi
Ni ukweli huoPengine kweli maana huko mwenye uwezo wa kula rushwa ni mkuu wa shule tuu
Hata ulinzi wa majengo ya postaLabda walinzi wa migodini,
Uko sahihi kabisa. Ualimu ni kazi ambayo kwa asilimia kubwa kipato chake hutokana na mshahara pekee. Hakuna posho za vikao, au upigaji kama ilivyo kwenye kada nyingine.Unadharaulika sababu hauna Rushwa na client wake sio watumishi ni watoto na vijana
Kwangu unawasifia ila post za wengine unawaponda za uso [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tupo pamoja walimu wengi hawajiongeziUko sahihi kabisa. Ualimu ni kazi ambayo kwa asilimia kubwa kipato chake hutokana na mshahara pekee. Hakuna posho za vikao, au upigaji kama ilivyo kwenye kada nyingine...
Hapa sijawaponda. Ninachokifanya ni kuwatia tu moyo na kuwapa siri ya kuepukana na dharau mtaani, wale walimu wote ambao mpaka leo bado wanaishi kwa kutegemea mishahara tu.Kwangu unawasifia ila post za wengine unawaponda za uso [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tupo pamoja walimu wengi hawajiongezi