Je, uamuzi wa kuwafukuza wahindi Uganda ulikuwa ni mbaya, au utekelezaji wake ndio ulikuwa mbaya?

Je, uamuzi wa kuwafukuza wahindi Uganda ulikuwa ni mbaya, au utekelezaji wake ndio ulikuwa mbaya?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Iddi Amin Dada ukimsikiliza kwenye kile kikao alichofannya na waandishi wa habari ili kutangaza lengo lake la kufukuza wahindi wote mchini Uganda, utaona kabisa kwamba lengo lake lilikuwa kurudisha uchumi wa Uganda mikononi mwa waganda wenyewe.

Pia aliamini kwamba uhuru wa mwaka 1963 haukuwa uhuru wa kweli, maana walitoka mikononi mwa waingereza wakahamishiwa mikononi mwa wahindi, hivyo uhuru utakuja kwa kuwaondoa wahindi.

Pia alichukia kitendo cha wahindi kuishi miaka mingi Uganda halafu hawaoani na waganda kabisa, wala hawajichanganyi kwa namna yeyote na waganda.

Sasa ni kwanini moango ule haukuzaa matunda yaliyotarajiwa, kwanini waAfrika tunakosa competence ya kuendesha biashara zilizoachwa na wahindi? Nini kilitokea?

Video ya kikao ni hiyo hapo, inamaelezo ya ziada.

 
Back
Top Bottom