Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Kiuhalisia ni 50/50

Kuna kundi linaloishi uhalisia wao

Kuna kundi linalochukulia jf kama sehemu ya kujifurahisha tu (hawa ni ngumu kujua uhalisia wao maana hawapo serious)

Kuna wale wenye ID tofauti zenye tabia tofauti, moja serious, nyingine za kucomment ujinga ujinga 😁
Mkuu upo sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom