Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Katika watu wameshindwa kutabilika ni mimi coz hata mwenyewe sijijui naitwa nani na nipo humu kwa lengo gan? Wazee wa mikeka mwenzenu nimeliwa ten la ruku leo nimelala gizan kama wanga
 
Kiuhalisia ni 50/50

Kuna kundi linaloishi uhalisia wao

Kuna kundi linalochukulia jf kama sehemu ya kujifurahisha tu (hawa ni ngumu kujua uhalisia wao maana hawapo serious)

Kuna wale wenye ID tofauti zenye tabia tofauti, moja serious, nyingine za kucomment ujinga ujinga 😁
 
Yesuuuu [emoji848][emoji848]
Jmn tatizo ni mtt huyo so lzm nitumie Kila mbinu kumkacha
Asije nogewa Bure vya watu wazima aka mashangazi[emoji125][emoji125][emoji125]

Na mashangazi mnavyojua kuwanogesha watoto wa watu, mnaruka mijudo sio shida zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom