Je, ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu ni sahihi?

Hii mada imekuwa ngumu? Mbona hakuna majibu? Swali ni hili kwa ufupi: Wapi katika Biblia Agano Jipya watu walibatizwa kwa formula ya kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu? Kitabu chote cha Matendo ya Mitume kinaonyesha watu walibatizwa kwa jina la Yesu. Nani alichomeka hii "Trinitarian baptism formula"? . Kama kweli Yesu aliagiza hivyo kwa nini mitume hawakufuata agizo hilo?
 
Huu mfupa naona umekuwa mgumu. Hakuna utetezi wowote mpaka sasa. Si waumini wa kawaida waliobatizwa kwa kanuni hiyo ya UTATU wala wataalamu wa elimu ya Biblia na wale walinzi wa imani (apologists). Wote kimyaaaaaa! Kulikoni??
 
Mdudu mtam jamaniii asikuambie mtuu
1000042837.jpg
 
Hiyo video sijaangalia,sijajua hoja yako hapo ni ipi!

Mathayo 28 : 19

"Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu"

JESUS IS COMING AGAIN

Get prepared!
 
Nilifafanua kidogo labda hukusoma basi narudia tena:

Umemaliza🙏
 
Ni ajabu hata kwenye forum ya kimataifa kama Quora swali hili kwa siku tatu tangu nimeliuliza huko hakuna aliyejibu. Quora kuna option baada ya kuuliza swali kwenye jamvi unaweza pia kuchagua wataalamu 25 kwenye mada hiyo na kuwaomba walete majibu. Huko nako kimya!!
 
Nilifafanua kidogo labda hukusoma basi narudia tena:
Hii mada imekuwa ngumu? Mbona hakuna majibu? Swali ni hili kwa ufupi: Wapi katika Biblia Agano Jipya watu walibatizwa kwa formula ya kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu? Kitabu chote cha Matendo ya Mitume kinaonyesha watu walibatizwa kwa jina la Yesu. Nani alichomeka hii "Trinitarian baptism formula"? . Kama kweli Yesu aliagiza hivyo kwa nini mitume hawakufuata agizo hilo?
Mkuu weka Mafungu ambayo kitabu Cha Matendo kinaonyesha walibatizwa Kwa Jina la Yesu Ili twende sawa!

JESUS IS COMING AGAIN

Get prepared!
 
Huu mfupa naona umekuwa mgumu. Hakuna utetezi wowote mpaka sasa. Si waumini wa kawaida waliobatizwa kwa kanuni hiyo ya UTATU wala wataalamu wa elimu ya Biblia na wale walinzi wa imani (apologists). Wote kimyaaaaaa! Kulikoni??
Watu wana mambo mengi ya msingi ya kuumizia kichwa, badala ya kuwalazimisha kuja kulumbana kwenye mambo ambayo hayakuletei mkate wako wa kila siku. Kwanza dini zenyewe zimeletwa kwa majahazi na meli! Halafu bado unataka kusumbua watu!
 
Naheshimu mawazo yako. Si kawaida ukimya wa aina hii kwenye majukwaa haya makubwa. Ila nimecheka kidogo style yako ya kunijibu but anyway, yote sawa tu!
 
Hii mada imekuwa ngumu? Mbona hakuna majibu? Swali ni hili kwa ufupi: Wapi katika Biblia Agano Jipya watu walibatizwa kwa formula ya kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu? Kitabu chote cha Matendo ya Mitume kinaonyesha watu walibatizwa kwa jina la Yesu. Nani alichomeka hii "Trinitarian baptism formula"? . Kama kweli Yesu aliagiza hivyo kwa nini mitume hawakufuata agizo hilo?
Mitume walibatiza kwa jina gani kwani?
 
Back
Top Bottom