NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
Slavisa Pajkic
Mkuu nimemuona huyu jamaa, anapitisha electricity mwilini, anahusiana nini na uchawi??
Condition yake ni explainable in science, hakuna uchawi wowote pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slavisa Pajkic
Ntakupa jibu ila najua wengi hawapendi kulisikia kwa kua binadamu kawaida hua anapenda kusikia kile anachokiamini au kitu fascinating hata kama hakina ukweli ndani yake, kwa hiyo proba kubwa atakayekuja na mambo ya uchawi humu ndani atabeba points nyingi pamoja na kua atakua anadanganya anaongea vitu ambavyo hata yeye proof hana.
Ukweli ni kwamba story zote ulizosikia hapo juu hakuna hata moja yenye ukweli, na kama kuna mwenye proof aje mbele anionyeshe atapokea pesa chap chap. Hakuna kitu kama mchawi kuzuia umeme usipite, nguvu ya umeme ipo kwenye atomic scale kabisa, sio kitu utasema mchawi ata-insulate, maswala ya kuanza kuamini wachawi wanaenda against the laws of physics ni uongo mtupu, mchawi akichomwa moto anawaka tu, au akipigwa shoti ya umeme atasikilizia utamu wake vilevile. Kama wana supernatural powers they might as well make themselves immortal.
Uchawi hakuna hua ni fix tu za kupiga hela, na ambaye haamini aseme uchawi aliuona wapi ili tumsaidie kuprove kua alichokiona sicho anachodhani alikiona bali lazima kuna kitu kilitrick ubongo wake into thinking kua aliona kitu kumbe hakikutokea.

Tatizo lako unaongozwa na unayoyaona tu! Na unaamini katika hayo tu!
Hata Biblia ilipotoka kuhusu uchawi sio?
Kitu chochote kuprove hii supernatural phenomena.
kabla hatujaenda mbali unamuamini mungu na unaamini uwepo wa mungu
👍nikweliSahihisho: andika 'Mungu' kwa kuanza na herufi kubwa.
Mkuu nimemuona huyu jamaa, anapitisha electricity mwilini, anahusiana nini na uchawi??
Condition yake ni explainable in science, hakuna uchawi wowote pale.
Kuna ukweli katika hili kwakuwa sayansi ina limit lakini uchawi hauna
Wrong answer dude!
In our universe as we know,Everythings have limit,and all events are determined by the same law of nature
it doesn't matter if one is normal event or paranormal activity,it's outcome will be predicted by known laws of physics
the so called Magic doesn't exist at all,because there is no(up to date)any empirical proof
that reinforce it's existence
when I say empirical proof,I mean the evidence that have been derived from isolated physical experiment
by the way,Magic is like ghost,everyone talk about it but non of them had ever saw it...
it simply the hearsay!!!
so if you believe in magic,then I guess even pigs is wiser than you,because non of pigs faith in Magic
think again pal
kabla hatujaenda mbali unamuamini MUNGU na unaamini uwepo wa MUNGU
Respect my views and construct your argument without teasing me this is social media pal you know what you know n I know what I know...
I'm really sorry bro
what you think,is not what I wrote
let me be honest,I respect your ideas
But my argument is very clear,it demand no more construction but it need non-emotional response contrary to yours
peoples can respect your view,but they can never accept it,unless it compatible with universal rules of logic
so sorry again sir,but this is my view also,which need respect as you wish
Anaye kataa kuwa uchawi hakuna anaudanganya umma.. uchawi upo na umeandikwa hata kwenye vitabu vya dini.. sasa ww ni nani hata upingane na vitabu vya dini?
Subiri akutane na hirizi inahemaHiyo evidence utajuaje kuwa ni evidence wakati huamini katika uchawi? Huo uchawi ukiletwa mbele zako utaamini kwamba huo ndio?
Uchawi ni imani na sayansi ni maarifa. Tofaut iko hapo