Je, Uchawi una nguvu kuliko sayansi?

Je, Uchawi una nguvu kuliko sayansi?

Uchawi upo mkuu. Hawa jamaa wananguvu zaidi ya sayansi.

lous de broglie,one of the master minds of quantum physics,but he wasn't thinking is that way like you do
in other word,your silly argument doesn't harmonize with your username

you have commited fallacy by assumed the conclusion out of blue
which action that enforced you to accept magic existence?..probably not
magic is myth like legend of santa
 
kuna ukweli katika hili kwakuwa sayansi ina limit lakini uchawi hauna

mkuu mi naona viceversa ya kua uchawi una mipaka yake huko makaburini na kwa MA lunatic lakini sayansi ina evolve with no limits
 
mkuu mi naona viceversa ya kua uchawi una mipaka yake huko makaburini na kwa MA lunatic lakini sayansi ina evolve with no limits

tulia ww ,aliyekwambia sayansi haina limits ni nani...??
 
lous de broglie,one of the master minds of quantum physics,but he wasn't thinking is that way like you do
in other word,your silly argument doesn't harmonize with your username

you have commited fallacy by assumed the conclusion out of blue
which action that enforced you to accept magic existence?..probably not
magic is myth like legend of santa

hayo majina mengine kujipachika huwa mnajiletea laana tu, kuvaa viatu visivyo saizi yako utaanguka tu
 
Nimekua nikisikia watu wakisimulia, nguvu ya uchawi ikiishinda nguvu ya sayansi, mfano: Gari au mashine mbalimbali na hata umeme, kushindwa kuwaka kwa hujuma za kichawi.

Kuna kiss nilisimuliwa Ndege kushindwa kuwaka baada ya Mzee mmoja kuzuiwa kupanda, ila rubani alipohisi kitu, aliomba yule Mzee aitwe ajiandae kwa safari, ikitumwa gari, kwenda kumfuata maana tayari alikua amesharudi kwake. haa hivyo Mzee alikataa akidai ameshahairisha safari yake, anajiandaa kusafiri siku nyingine tena.

Baada ya kubembelezwa sana yule mzee akakubali kuondoka, alipofika uwanja wa ndege na kuingia ndani ya Ndege, Ndege ikawaka.ikumbukwe hii haikua Ndege ya biashara za abiria hii ilikua Ndege ndogo zinazotua hata viwanja vidogo.

Pia nimewahi kusikia Kuna kijiji kimoja gari haziruhusiwi kupita baada ya saa moja usiku, ukipita baada ya hapo gari itaharibikia kijijini hapo mpaka asbuhi ndipo itapona, na mtakayoaona usiku huo mtahisi mmekaa mwaka mzima kijijini hapo.

Pia jamii ya wachina inasemekana na hujenga madaraja usiku huku wakihusishwa na kutumia uchawi katika ujenzi huo. Nadhani hata wewe msomaji, utakuwa umewahi kusikia, Kama sio kuona visa hivi vya uchawi kuizima sayansi. Sasa je ni kweli uchawi una ngvu kuliko Sayansi?

Upo ukweli mzito sana na ndio maana zikaitwa nguvu za giza
 
dreson4 a.k.a NullPointer naona watu wanakupinga lakini ni vyema umewapa vidonge vyao. ukiwauliza ushahidi wa uchawi wanabaki kuruka-ruka tu. ukiwaambia nilogeni ili niamini uchawi upo, basi wataanza kutunga story mpya
ni kazi rahisi sana kuwadanganya watu kuliko kuwaambia mnadanganywa

.made in mby city.

Je unajua kuhusu mazingaombwe? Na unayaweka fungu gani?
 
Last edited by a moderator:
Wrong answer dude!

In our universe as we know,Everythings have limit,and all events are determined by the same law of nature
it doesn't matter if one is normal event or paranormal activity,it's outcome will be predicted by known laws of physics

the so called Magic doesn't exist at all,because there is no(up to date)any empirical proof
that reinforce it's existence
when I say empirical proof,I mean the evidence that have been derived from isolated physical experiment

by the way,Magic is like ghost,everyone talk about it but non of them had ever saw it...
it simply the hearsay!!!
so if you believe in magic,then I guess even pigs is wiser than you,because non of pigs faith in Magic

think again pal

Umeandika kwa uelewa wako then unasema we na pia kwanini ubishe kitu ambacho hauna uhakika nacho wazungu wamewavuruga vichwa vikaharibika
 
Umeandika kwa uelewa wako then unasema we na pia kwanini ubishe kitu ambacho hauna uhakika nacho wazungu wamewavuruga vichwa vikaharibika

Wewe ubongo wako unautumiaje kaka?Mimi naamini kitu ninacho kiona siyo ninachokisikia.
 
mkuu mi naona viceversa ya kua uchawi una mipaka yake huko makaburini na kwa MA lunatic lakini sayansi ina evolve with no limits


Uchawi siyo tu Hauna Mipaka Bali haupo kabisa.
Insane na Wapuuzi ndiyo watatetea Uwepo wake.
sayansa Haina Limit kama ulivyosema Mkuu ila ina undergo Evolution.

safi sana.
 
Wewe humjui hata Mungu ndo mbna una amini uchawi hakuna,ktk maisha tunayoishi hapa duniani kuna ulimwengu wa aina mbili,ulimwengu wa roho ambao ni wa giza na ulimwengu wa roho ambao ni nuru,ulimwengu wa roho wa giza ndo kuna wachawi na mapepo pamoja na shetani,ulimwengu wa roho wa nuru ndo kuna Mungu na malaika zake,yote haya huwezi kuyaona kwa macho ya kawaida,uchawi upo hata ktk Biblia umetajwa,ukitaka kuhakikisha uwepo wa uchawi itakubidi pia uhakikishe uwepo wa Mungu na malaika zake,huwezi kukataa uchawi halafu ukakubali uwepo wa Mungu,mchawi anakuja nyumbani kwako usiku wa manane anaingia na kufanya atakavyo tena bila kufungua mlango wala kuvunja,kama huamini tafuta watu kama mzizi mkavu au mshana jr au wengine,wakupe dawa ya kuwaona wachawi ktk ulimwengu wa roho,acha umbumbumbu wa kutokujua mambo yanayoisibu dunia hii unayoishi,vinginevyo utakuwa mjinga wa mwisho kuwahi kutokea,hata maisha uliyonayo yanaguswa na ulimwengu wa roho utake usitake.

Haya ni mawazo ya binadamu wa karne ya 21 kweli?
 
Kaka ujinga katika karne ya 21 Ni Option,na Yeye kaichagua
Kwa Upande wangu Mimi sioni tatizo lolote.

Bado tunahitaji miongozo mipya miongozo ya karne hizo ilie rekodiwa na Watu middle East ni useless kwa Dunia ya sasa
 
Naweza kukubaliana na watu wanaosema uchawi haupo at the same time nakubaliana na wanaosema uchawi upo. Why?

Nakubaliana na wanaosema uchawi haupo kwa sababu hakuna direct evidance kuhusu uchawi zaid ya fairy tales. Ukitaka ushahidi wa uchawi hutapata kwa sababu mara nyingi watu hufanya uchawi kwa kificho. Ndo maana ukaitwa nguvu za giza.

Nakubaliana na wanasema upo na una nguvu kuliko sayansi kwa sababu huwezi ukathibitisha uwepo wa uchawi na mtu akakuelewa zaidi ya kuamin wewe mwenyewe. Kuna rafiki yangu mmoja aliumwa ghafla akapelekwa hospitalin tulilipa gharama kwa ajili ya vipimo vidogo na vikubwa lakin hakuonekana na ugonjwa wowote. Baada ya tafiti mbali mbali daktari alitushauri kutumia mbinu mbadala. Kulingana na iman zetu ukatokea ubishan mkubwa lakin kutokana na hali ya mgonjwa kuzidi kuwa mbaya ilibid ndugu wakubaliane na wakaenda kwa mtaalam. Baada ya nusu saa mtaalam akasema mgonjwa keshapona nenden mkamwangalie. Ndugu wanarudi hospitalin jamaa kapona na wakaondoka naye.
 
Tafuta issue ya kabuli la kiyeuyeu na umeme wa tanesco iringa.
 
Una nguvu gani??? Mbona kuroga mpaka wajifiche na kivizia usiku si wafanye hadharani tuone km wananguvu kweli...
 
hehe ukitaka kujua kama uchawi una nguvu kuliko sayansi, em muweke mchawi sehemu alafu tuma bomu la nyuklia tuone kama atatoka mzima.
 
Mkuu nimemuona huyu jamaa, anapitisha electricity mwilini, anahusiana nini na uchawi??
Condition yake ni explainable in science, hakuna uchawi wowote pale.

null pointa...wewe inaelekea unaujua uchawi vizuri...maana mheshimiwa kakupa example kwenye youtube umuone huyo anayepitisha umeme kwenye mwili wake wewe unasema sio uchawi au ulitaka pawepo na tunguli ubani ili ujue ni uchawi?..nataka nikuambie uchawi ni nini..ila kabla sijaanza nataka nijue unataka nieleze vipi au vitugani nivitaje katk maelezo yangu ili uamini kuwa uchawi UPO..please mh give me a guide..karibu
 
Back
Top Bottom