einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,674
hehe ukitaka kujua kama uchawi una nguvu kuliko sayansi, em muweke mchawi sehemu alafu tuma bomu la nyuklia tuone kama atatoka mzima.
Mkuu,Hakuna haja ya kulinganisha uchawi na sayansi.
Uchawi sio chochote Zaidi ya Hallucination.
Na scientific Research yoyote inayochunguza Uchawi,Mara nyingi Inabase in Human Brain.
Hii ina Maanisha kuwa,Effect au Illusion of Magic inasababishwa na Ubongo wa Mwanadamu na siyo tunguli au Mizimu.