Je, Uchawi una nguvu kuliko sayansi?

Uchawi upo mkuu. Hawa jamaa wananguvu zaidi ya sayansi.

lous de broglie,one of the master minds of quantum physics,but he wasn't thinking is that way like you do
in other word,your silly argument doesn't harmonize with your username

you have commited fallacy by assumed the conclusion out of blue
which action that enforced you to accept magic existence?..probably not
magic is myth like legend of santa
 
kuna ukweli katika hili kwakuwa sayansi ina limit lakini uchawi hauna

mkuu mi naona viceversa ya kua uchawi una mipaka yake huko makaburini na kwa MA lunatic lakini sayansi ina evolve with no limits
 
mkuu mi naona viceversa ya kua uchawi una mipaka yake huko makaburini na kwa MA lunatic lakini sayansi ina evolve with no limits

tulia ww ,aliyekwambia sayansi haina limits ni nani...??
 

hayo majina mengine kujipachika huwa mnajiletea laana tu, kuvaa viatu visivyo saizi yako utaanguka tu
 

Upo ukweli mzito sana na ndio maana zikaitwa nguvu za giza
 

Je unajua kuhusu mazingaombwe? Na unayaweka fungu gani?
 
Last edited by a moderator:

Umeandika kwa uelewa wako then unasema we na pia kwanini ubishe kitu ambacho hauna uhakika nacho wazungu wamewavuruga vichwa vikaharibika
 
Umeandika kwa uelewa wako then unasema we na pia kwanini ubishe kitu ambacho hauna uhakika nacho wazungu wamewavuruga vichwa vikaharibika

Wewe ubongo wako unautumiaje kaka?Mimi naamini kitu ninacho kiona siyo ninachokisikia.
 
mkuu mi naona viceversa ya kua uchawi una mipaka yake huko makaburini na kwa MA lunatic lakini sayansi ina evolve with no limits


Uchawi siyo tu Hauna Mipaka Bali haupo kabisa.
Insane na Wapuuzi ndiyo watatetea Uwepo wake.
sayansa Haina Limit kama ulivyosema Mkuu ila ina undergo Evolution.

safi sana.
 

Haya ni mawazo ya binadamu wa karne ya 21 kweli?
 
Kaka ujinga katika karne ya 21 Ni Option,na Yeye kaichagua
Kwa Upande wangu Mimi sioni tatizo lolote.

Bado tunahitaji miongozo mipya miongozo ya karne hizo ilie rekodiwa na Watu middle East ni useless kwa Dunia ya sasa
 
Naweza kukubaliana na watu wanaosema uchawi haupo at the same time nakubaliana na wanaosema uchawi upo. Why?

Nakubaliana na wanaosema uchawi haupo kwa sababu hakuna direct evidance kuhusu uchawi zaid ya fairy tales. Ukitaka ushahidi wa uchawi hutapata kwa sababu mara nyingi watu hufanya uchawi kwa kificho. Ndo maana ukaitwa nguvu za giza.

Nakubaliana na wanasema upo na una nguvu kuliko sayansi kwa sababu huwezi ukathibitisha uwepo wa uchawi na mtu akakuelewa zaidi ya kuamin wewe mwenyewe. Kuna rafiki yangu mmoja aliumwa ghafla akapelekwa hospitalin tulilipa gharama kwa ajili ya vipimo vidogo na vikubwa lakin hakuonekana na ugonjwa wowote. Baada ya tafiti mbali mbali daktari alitushauri kutumia mbinu mbadala. Kulingana na iman zetu ukatokea ubishan mkubwa lakin kutokana na hali ya mgonjwa kuzidi kuwa mbaya ilibid ndugu wakubaliane na wakaenda kwa mtaalam. Baada ya nusu saa mtaalam akasema mgonjwa keshapona nenden mkamwangalie. Ndugu wanarudi hospitalin jamaa kapona na wakaondoka naye.
 
Tafuta issue ya kabuli la kiyeuyeu na umeme wa tanesco iringa.
 
Una nguvu gani??? Mbona kuroga mpaka wajifiche na kivizia usiku si wafanye hadharani tuone km wananguvu kweli...
 
hehe ukitaka kujua kama uchawi una nguvu kuliko sayansi, em muweke mchawi sehemu alafu tuma bomu la nyuklia tuone kama atatoka mzima.
 
Mkuu nimemuona huyu jamaa, anapitisha electricity mwilini, anahusiana nini na uchawi??
Condition yake ni explainable in science, hakuna uchawi wowote pale.

null pointa...wewe inaelekea unaujua uchawi vizuri...maana mheshimiwa kakupa example kwenye youtube umuone huyo anayepitisha umeme kwenye mwili wake wewe unasema sio uchawi au ulitaka pawepo na tunguli ubani ili ujue ni uchawi?..nataka nikuambie uchawi ni nini..ila kabla sijaanza nataka nijue unataka nieleze vipi au vitugani nivitaje katk maelezo yangu ili uamini kuwa uchawi UPO..please mh give me a guide..karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…