einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,674
hehe ukitaka kujua kama uchawi una nguvu kuliko sayansi, em muweke mchawi sehemu alafu tuma bomu la nyuklia tuone kama atatoka mzima.
teh teh teh
hata biological impulse ni umeme pia,moyo hauwezi kuoperate bila kuwa na kiasi fulani cha voltage,all our senses operating electrically..kwahiyo hakuna cha ajabu hapo
halafu paranormal activities nyingi hutumia tricks tu..
Mkuu,Hakuna haja ya kulinganisha uchawi na sayansi.
Uchawi sio chochote Zaidi ya Hallucination.
Na scientific Research yoyote inayochunguza Uchawi,Mara nyingi Inabase in Human Brain.
Hii ina Maanisha kuwa,Effect au Illusion of Magic inasababishwa na Ubongo wa Mwanadamu na siyo tunguli au Mizimu.
hicho ni unachokifahamu, lakini una uhakika kwamba ukifahamucho ndicho unachopaswa kukifAahamu , na je hicho ukifahamucho ww ndicho kilicho sahihi...?? nauliza tu mkuu usijenikata mapanga.kama kweli uchawi unanguvu kuzidi sayansi inakuwaje mchawi akiumwa anaenda hospatilini
hii dunia ninacho fahamu mimi mtu ambaye ni top ni mwanasayansi na hii dunia inaendeshwa kisayansi lakini sio kiuchawi.
So uchawi upo?
Absolute No..!
Absolute No..!
hicho ni unachokifahamu, lakini una uhakika kwamba ukifahamucho ndicho unachopaswa kukifAahamu , na je hicho ukifahamucho ww ndicho kilicho sahihi...?? nauliza tu mkuu usijenikata mapanga.