GE2025 Je, Uharam wa ‘Candidacy’ ya Rais Samia hauwezwi kupingwa mahakamani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,956
Reaction score
47,046
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.

Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
 
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.

Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ kwenda kuweza zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Mahakama gani?, hii ya hapa isiyo huru ama ipi?
 
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.

Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ kwenda kuweza zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Tatizo ni moja tu, jee tunazo Mahakama Tanzania? Kwa kinachoendelea kwenye kesi ya uhaini ya Lissu na ile ya Wazanzibari vs uongozi wa Chadema ni dhahiri hatuna Mahakama Tanzania.
 
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.

Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Hakuna uharamu katika candidacy ya Samia, bali kuna mtafaruku tu kwa Sukuma Gang. Ni kwamba Samia yuko mbele ya muda, amewawahi wakiwa hawajavaa kaptura.

NEC ya CCM ndiyo waamuzi wa mwisho wa nani mgombea wa CCM. Imekwisha hiyo, tafuta kingine cha kufanya, tujutane 2030 Mungu akitupa uhai
 
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.

Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
LAbda kama wataungana na movement ya katiba mpya kwanza

Tofauti na hapo majibu ya mahakama yanajulikana kabla hata hawajaenda
 
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.

Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Mahakama ipi!!!!??? Upo nchi gani wewe?
 
Tangu hii nchi ipate uhuru Kuna rais aliekatishwa asiendee kuwa mgombea wakati wa uchaguzi.
Kwa Nini kwa huyu iwe nongwa kiasi hiki?
Wakati kuanzia awamu ya kwanza hakuna mwananchi alie jua Nini has kinaendelea kwenye uchaguzi katika chama.
Angalieni hao wasiolitakia taifa mema. Walipokua wao kwenye manono na kuhusika na maamuzi ya chama na serikali walikua kimyaa na kupiga debe tu.
Hakuna sababu ya msingi raising wa Sasa asiwe mgombea. Huu wakati wa mpito kutoka awamu ya Tano na sita nchi imepita kwa amani kwa amani japo Kuna mapungufu ya kawaida na yalio tokea hata awamu zilizo pita.
Uchumi unapaa sekta zote
Sekta ya huduma za jamii ni bora kuliko awamu zote.
 
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.

Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Mahalama hizi hizi za kesi ya Lissu au za Uingereza?
 
Ukisema huduma za jamii, hospitali na manispaa unazijumuisha?
 
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.

Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?

Jamaa wa Moshi aliyefungua kesi si Polex2 kasema wamemfukuza? Kuna mwenye ujasiri kati hawa wadaka matonge waliobaki?
 
Back
Top Bottom