Duu, kumbe mchakato ulishaanza?
Hatuelewi kwanini hadi sasa kesi hii haijapewa namba, tarehe wala jaji wa kuisikiliza hadi sasa, mahakama inaonekana inasinzia.
Duu, kumbe mchakato ulishaanza?
Kwa mahakama ya jaji Mwanga yule ex wa tume ya u uchaguzi ya CCM,hapo hakuna kitu.Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Mahakama ya mwisho ni nguvu ya wananchi maana wakiamua hata sheria itasimama kwanza.Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
So Kisutu ni nini🤔Tatizo ni moja tu, jee tunazo Mahakama Tanzania? Kwa kinachoendelea kwenye kesi ya uhaini ya Lissu na ile ya Wazanzibari vs uongozi wa Chadema ni dhahiri hatuna Mahakama Tanzania.
kwahiyo pwagu wa siasa unawauliza mapwaguzi wenzio wa kisiasa juu ya huo upotoshaji wako, right?Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Wakamfukuza membershipkuna prof mmoja alienda mahakamani kulikoni?
Ni kigango cha CCMSo Kisutu ni nini🤔
Mahakama ipi sheikh?!Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Jeuri ya chama dola kongwe
MAKALLA ATOA MSIMAMO MZITO KWA WAGOMBEA, ASHANGAZWA NA WANAOHOJI RATIBA ZA CCM
View: https://m.youtube.com/watch?v=vjG_7E5hleo
Mahakama za Tanzania zimegeuzwa kuwa vigango vya CCM.Tatizo mahakama zote ziko ndani ya mkoba wa Samia mwenyewe. Nadhani umenielewa.
Yule mwanachama aliyekwenda mahakamani wameamua kumfukuza uanachama.kuna prof mmoja alienda mahakamani kulikoni?
Mchakato wa kichama umeshafanyika, ulikuwa mchakato haramu, na halikadhalika, zao la mchakato ule ni haramu pia! Samia ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya CCM!Ikiwa atachukua form ya NEC kugomea U-Rais kabla ya kujahalalisha uteuzi wake ndani ya CCM kwa kufuata mchakato wa kikatiba na kikanuni, hapo ndo atakuwa haramu. Ila lwa sasa bado huwezi kumpeleka mahakamani.
Jeuri ya chama dola kongwe
MAKALLA ATOA MSIMAMO MZITO KWA WAGOMBEA, ASHANGAZWA NA WANAOHOJI RATIBA ZA CCM
View: https://m.youtube.com/watch?v=vjG_7E5hleo